Kigezo:Majiranukta : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 23:
 
{{Documentation}}
Unaweza kuonyesha [[anwani ya kijiografia]] (pia '''viwianishimajiranukta''', ing. ''coordinates'') juu ya makala ya mji, jengi au mahali pengine na kuitazama kwenye ramani kwa kugonga tu.
 
Kuna namna mbili za kuandika viwianishimajiranukta:
# kwa kutaja nyuzi, dakika na sekunde
# kwa namna ya desimali
 
===Umbo la nyuzi-dakika-sekunde===
Unaweza kutafuta anwani hii kwa mfano kutoka google earth. Kwa mfano unafungua google earth, unaweka "marker" njano katika eneo la mji wa Kairo, Misri. ViwianishiMajiranukta vyaza marker hii ni: '''29°58'45'''.78"'''N''' '''31° 8'4'''.92"'''E'''. Utakumbuka tarakimu pale, halafu utanakili mstari wa mfano hapo chini na kubadilisha tarakimu ipasavyo, halafu ingiza katika makala.
 
'''Tahadhari:''' ukichukua kutoka google earth utumie sehemu tatu za kwanza pekee, acha sehemu za sekunde yaani nukta na tarakimu baadaye (hapo juu utatumia tarakimu zinazoonekana '''koze''' pekee)