Udongo kinamo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika '249px|thumb|Udongo wa kinamu nchini Estonia '''Udongo kinamo''' (udongo wa kinamu, pia '''udongo wa mfinyanzi''', ing. ''en:cla...'
 
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Clay-ss-2005.jpg|249px|thumb|Udongo wa kinamu nchini Estonia]]
'''Udongo kinamo''' (udongo wa kinamu, pia '''udongo wa mfinyanzi''', [[ing.]] ''[[:en:clay|clay]]'') ni aina ya [[udongo]] ambao una chembechembe ndogo sana na una tabia ya kushikamana.
 
Udongo wa aina hii huwa na uwezo mkubwa wa kushika maji ndani yake. Ganda la udongo kinyamo, tofauti na mchanga, haupitiki kirahisi na maji.