Chama cha Kikristo cha Kidemokrasia cha Ujerumani : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 15:
}}
 
'''Chama cha Kikristo cha Kidemokrasia cha Ujerumani''' au(kwa [[Kijerumani]]: '''Christlich Demokratische Union Deutschlands'''; [[kifupisho]]: (CDU) ni mojakimojawapo kati ya [[Chama cha kisiasa|vyama viwili vikubwa vya kisiasa]] nchini [[Ujerumani]]. Kinajielezea chenyewe kuwa: <blockquote> chama cha kisiasa kilicho cha [[Kikristo]], cha [[Demokrasia|kidemokrasia]], cha [[uhuru]] na cha [[mapokeo]], chenye msimamo wa kati ya eneo la kisiasa.</blockquote>
 
Mnamo [[Mwezi (wakati)|mwezi]] [[Novemba]] katika [[mwaka]] wa [[2005]] Bi. [[Angela Merkel]] amepata kuwa [[Chansela]] wa [[Shirikisho la Jamhuri ya Ujerumani]] kwa kupitia kiti cha chama cha CDU.
 
== Chama na dini ==
[[Historia|Kihistoria]] CDU ilianzishwa kama maungano ya mikondo ya kikatoliki[[Kanisa Katoliki|Kikatoliki]] na kiprotestanti[[Protestanti|Kiprotestanti]] ya sisasakisiasa ya Kijerumani baada ya [[vita kuu ya pili ya dunia]]. Kabla ya utawala wa [[Adolf Hitler]] mikondo hii iliendelea kandokando hadi 1933; chama cha Zentrum ilikuwa chama cha kikatoliki na vyama vya kiprotestanti vilijipasua hadi kupotea. Baada ya vita ilikua nia ya wanasiasa Wakristo kuungana kwa sauti moja hivyo waliunda CDU. Kwa miaka mingi uwiano kati ya wanasiasa wakatoliki na waprotestanti ilikuwa jambo muhimu ndani ya chama.
 
Kabla ya [[utawala]] wa [[Adolf Hitler]] mikondo hii iliendelea kandokando hadi mwaka [[1933]]; chama cha [[Zentrum]] kilikuwa chama cha Kikatoliki na vyama vya kiprotestanti vilijipasua hadi kupotea.
Katika miaka ya nyuma CDU imejitahidi kukusanya pia Waislamu Wajerumani hasa kutoka wahamiaji Waturuki na watoto wao. CDU imekuwa chama cha kwanza katika Ujerumani kilichomteua waziri mwislamu kwenye ngazi ya serikali ya jimbo la [[Saksonia ya chini]] mwaka 2010.
 
Baada ya [[vita]] ilikua nia ya [[wanasiasa]] [[Wakristo]] kuungana na kuwa na [[sauti]] moja, hivyo waliunda CDU. Kwa miaka mingi uwiano kati ya wanasiasa Wakatoliki na Waprotestanti ulikuwa jambo muhimu ndani ya chama.
 
Katika miaka ya nyuma CDU imejitahidi kukusanya pia [[Waislamu]] Wajerumani hasa kutoka [[wahamiaji]] [[Waturuki]] na [[watoto]] wao. CDU imekuwa chama cha kwanza katika Ujerumani kilichomteua [[waziri]] mwislamuMwislamu kwenye ngazi ya [[serikali]] ya [[Majimbo ya Ujerumani|jimbo]] la [[Saksonia ya chini]] mwaka [[2010]].
 
{{mbegu-siasa}}