Beirut : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d All info is kept in Wikidata, removed: {{Link FA|ar}} (2) using AWB (10903)
No edit summary
 
Mstari 1:
[[Picha:Ras Beirut.jpg|thumb|250px|Kitovu cha Beirut kutoka hewani: Bandari, Ras Beirut, Uwanja wa ndege]]
'''Beirut''' (''pia: Beyrouth;'' kwa [[Kiarabu]]: بيروت) ni [[mji mkuu]] wa [[Lebanon]], pia [[mji]] mkubwa na [[bandari]] kuu ya nchi hiyo. Iko [[Mwambao|mwambaoni]] pa [[Bahari ya Kati]].
 
Imekadiriwa kuwa [[idadi]] ya wakazi ni kati ya [[milioni]] [[moja]] na [[mbili]].
 
Mahali pa mji ni kanda kati ya [[bahari]] na [[milima]] inayofuatana sambamba na mwendo wa [[pwani]].
 
[[Kitovu]] cha [[Historia|kihistoria]] ikokiko kando ya [[rasi]] inayoitwa Ras Beirut penye kitovu cha mji wa kisasa kabla ya [[vita yavya wenyewe kwa wenyewe ya Lebanon]] kati ya miaka [[1975]] na [[1990]].
[[Picha:Beirut msikiti kanisa.JPG|thumb|250px|[[Kanisa]] na [[msikiti]] kandokando mjini Beirut.]]
Kipindi kirefu cha [[vita]] hiyohivyo yavya ndani kilibadilisha uso wa mji katika mengi. Mji ulitenganishwa katika maeneo ya [[Wakristo]] na [[Waislamu]] hasa. [[Mtaa|Mitaa]] mipya ilianzishwa mbali na mstari wa mapigano, [[ujenzi]] ukaongezeka sana hasa upande wa [[kaskazini]] na kuelekea milimani.
 
Tangu [[amani]] ya mwaka [[1990]] mji ulijengwa upya. Lakini mashambulizi ya [[ndege za vita]] za [[Israel]] mnamo [[Julai]] [[2006]] yaliharibu tena sehemu za mji.
[[Picha:Beirut- building from before civil war.jpeg|thumb|250px|[[Nyumba]] zilizofyatuliwa [[risasi]] wakati wa vita 1975-1990.]]
 
Kabla ya vita Beirut ilikuwa tangu muda mrefu kitovu cha kiuchumi na kielimu wacha [[Mashariki ya Kati]]. Chuo Kikuu cha Kimarekani ([[American University of Beirut]]) pamoja na [[vyuo vikuu]] vya [[serikali]] na [[Kanisa Katoliki]] vimeendelea kufundisha hata wakati wa vita. Nafasi ya kinara cha kielimu imerudishwa kwa sababu ya [[uhuru]] kwa ajili ya ma[[gazeti]] na wachapishaji [[vitabu]], lakini uongozi wa kiuchumi umehamia nchi za [[ghuba ya Uajemi]] kama vile [[Kuwait]], [[Qatar]] na [[Falme za Kiarabu]].
 
{{mbegu-jio-Asia}}
 
[[Jamii:Miji mikuu yaMikuu Asia]]
[[Jamii:Miji ya Lebanoni]]
[[Jamii:Miji ya pwani laya Mediteranea]]