Tripoli (Libya) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 118 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q3579 (translate me)
No edit summary
Mstari 13:
 
}}
[[Picha:LibyaTarabulus.png|thumb|Mahali ilipo Tripoli katika [[ramani]] ya Libya]]
<small>''Kwa miji mingine inayoitwa "Tripoli" tazama makala ya maana [[Tripoli]]''</small>
 
'''Tripoli''' ni [[mji mkuu]] wa [[Libya]]. [[Jina]] la [[Kiarabu]] ni '''طرابلس''' (''tarāblus'') au '''طرابلس الغربية''' (''tarābulus al-gharbiyya'' - Tripoli ya Magharibi kwa sababu ya [[Tripoli ya mashariki]] huko [[Lebanon]]) lina [[asili]] ya lugha ya [[Kigiriki]] (Τρίπολη) la kumaanishalikimaanisha "miji mitatu".
 
Tripoli ina wakazi 1,150,990 ambayo ni zaidi ya [[robo]] [[moja]] ya wakazi wote wa Libya na huku ikiendelea kukua haraka. [[Jiji]] hili liko [[ufuko|ufukoni]] mwa [[bahari]] ya [[Mediteranea]] likiwa na [[hali ya hewa]] ya wastani. Mwezi [[Agosti]] inafika [[halijoto]] ya [[sentigredi]] 28,1°, [[Januari]] sentigredi 12,1°. Miezi ya [[baridi]] kuna [[mvua]], [[Juni]] hadi Agosti ni [[majira]] ya [[kiangazi]].
 
Tripoli ina bandari kubwa kabisa ya Libya na pia ni kitovu cha [[serikali]], [[biashara]] na [[viwanda]].
 
Tripoli ni mji wa kale ambao bado [[historia]] yake imetunzwa ikionyesha mabaki ya historia yake ndefu tangu enzi za [[Wafinisia]], [[Waroma]], [[Waarabu]], [[Hispania|Wahispania]], [[Uturuki|Waturuki]] na [[Italia|Waitalia]].
 
== Picha za Tripoli ==
<gallery>
Image:Tripolilibyanasa.jpg|Tripoli na bandari yake inavyoonekana kutoka angani
Image:Grand Hotel Tripoli.jpg|Hoteli Al Kabir (Grand Hotel)
Image:Grand HotelModern Tripoli.jpg|Hoteli Al KabirMajengo (Grandya Hotel)kisasa
Image:Modern Tripoli.jpg|Majengo ya kisasa
</gallery>
 
{{mji-jio-Afrika}}
 
[[Jamii:Libya]]
[[Jamii:Miji ya Libya]]
[[Jamii:Miji Mikuu Afrika]]
[[Jamii:Miji ya pwani laya Mediteranea]]
[[Jamii:Tripoli (Libya)| ]]