Lugha : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Protected "Lugha" ([Kuhariri=Zuia watumiaji wapya au wale ambao hawajajisajilisha] (bila mwisho) [Kuhamisha=Zuia watumiaji wapya au wale ambao hawajajisajilisha] (bila mwisho))
Mstari 11:
Lugha ni mfumo wa sauti za nasibu kwa sababu zilitokea kama bahati tu kwa binadamu. Wanyama hawatumii lugha kama chombo cha mawasiliano, kwa kuwa lugha ni sauti zenye maana na kukubaliwa na jamii.
 
Hakuna lugha bora zaidi duniani, kwa kuwa lugha zote zina [[ubora]], mradi zikidhi matakwa ya jamii husika.
 
Mbali na maana ya kawaida kuna pia [[lugha ya ishara]] inayotumiwa na [[bubu|watu bubu]]. Katika fani ya programu za [[kompyuta]] ni kawaida kuongea juu ya "[[lugha ya kompyuta]]".
 
==Umuhimu wa lugha==