Jamhuri ya Watu wa China : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 57:
|footnotes = <sup>1</sup> Pamoja na Kichina cha Mandarin kile cha [[Kikanton]] ni lugha rasmi katika Hong Kong na Macau. [[Kiingereza]] ni pia lugha rasmi katika [[Hong Kong]] na [[Kireno]] huko [[Macau]]. Vilevile kuna lugha za kieneo yanayotumiwa rasmi kama vile [[Kiuyghur]] huko [[Xinjiang]], [[Kimongolia]] katika jimbo la [[Mongolia ya Ndani]], [[Kitibet]] huko [[Tibet]] na [[Kikorea]] katika mkoa wa Yanbian.<br />
}}
'''China''' (pia: '''Uchina, Sina'''); aukirefu: '''Jamhuri ya Watu wa China,''') ni nchi kubwa ya [[Asia ya Mashariki]] naambayo ndiyo nchi yenye watu wengi kuliko zote [[duniani]].
 
China imepakana na [[Vietnam]], [[Laos]], [[Myanmar]], [[India]], [[Bhutan]], [[Nepal]], [[Pakistan]], [[Afghanistan]], [[Tajikistan]], [[Kyrgyzstan]], [[Kazakhstan]], [[Urusi]], [[Mongolia]], [[Korea ya Kaskazini]].
 
Kuna [[pwani]] ndefu yakwenye [[Bahari ya Kusini ya China]] na [[Bahari ya Mashariki ya China]] ambazo ni [[bahari ya kando]] ya [[Pasifiki]].
 
China kuna ma[[kabila]] 56 tofauti. [[Wahan]] dilondio kabila kubwa zaidi nchini China kwa [[idadi]] ya [[watu]] ikiwa na [[asilimia]] 92.

[[Lugha rasmi]] ni [[Kichina]] cha [[Mandarin]] kinachotumiwa na [[asilimia]] 70 za wananchi.
 
[[Siasa]] inatawaliwa na [[chama cha kikomunisti]].
 
[[Mji mkuu]] ni [[Beijing]] lakini [[Shanghai]] ndio [[mji]] mkubwa zaidi.
 
[[Hong Kong]] iliyokuwa [[koloni]] la [[Uingereza]] na [[Macau]] iliyokuwa koloni la [[Ureno]] ni maeneo ya China yenye utawala wa pekee.
 
[[Taiwan]] na [[visiwa]] vingine vya [[Jamhuri ya China]] vinatazamwa na [[serikali]] ya Beijing kuwa [[majimbo chini]] yake lakini vimekuwa kama nchi ya pekee tangu mwaka [[1949]].
 
== Jiografia ==
China ina eneo la [[kilomita za mraba]] [[milioni]] 9.6 hivyo ni nchi ya tatu au ya nne <ref>Baada ya Urusi na Kanada ambazo ni nchi mbili kubwa zaidi, China na [[Marekani]] ni karibu sawa; kama maeneo yanayodaiwa na China bila kukubaliwa na majirani yanahesabiwa mleupande wake basi China ni kubwa kidogo kuliko Marekani</ref> kwa ukubwa duniani.
 
Sura ya nchi inaonyesha [[tabia]] tofautitofauti.
 
Upande wa [[kaskazini]], mpakani namwa [[Siberia]] na Mongolia, kuna maeneo [[yabisi]] pamoja na [[jangwa la Gobi]].
 
Kinyume chake upande wa [[kusini]], mpakani wamwa [[Vietnam]], [[Laos]] na [[Burma]], [[hali ya hewa]] ni [[nusutropiki]] yenye [[mvua]] nyingi inayolisha [[misitu]] minene.
 
Sehemu za [[magharibi]] zina [[milima]] mingi ambayo ni kati ya milima mirefu duniani kama [[Himalaya]] na [[Tian Shan]].
Line 88 ⟶ 90:
[[Upana]] wa China kati ya kaskazini na kusini ni [[kilomita]] 4,200 na kati ya mashariki na magharibi ni kilomita 4,200.
 
Pwani ina [[urefu]] wa [[kilomita]] 14,400.
 
Kuna [[mito]] mikubwa; mrefu zaidi ni [[Yangtse]] ([[km]] 6,300), [[Hwangho]] au [[Mto Njano]], [[Xi Jiang]] au mto wa Magharibi, [[Mekong]], [[Mto wa Lulu]], [[Brahmaputra]] na [[Amur]]. Mito hiyo yote ina [[Chanzo (mto)|vyanzo]] vyake katika milima mikubwa yenye [[usimbishaji]] mwingi, ikibeba [[maji]] kwenda tambarare pasipo mvua nyingi.
 
[[Jiografia]] hiyo ilikuwa chanzo cha [[kilimo cha umwagiliaji]] na kukua kwa ma[[dola]] ya kwanza.
 
Kutokana na [[Dawa|madawa]] ya [[kilimo]] na [[maji machafu]] ya [[viwanda]], mito na [[Ziwa|maziwa]] ya China hupambana na machafuko makali; mwaka [[2007]] [[ziwa Tai]] lilisafishwa kwa [[gharama]] kubwa mno kwa sababu maji hayakufaa tena kwa mahitaji ya [[binadamu]] (maji ya [[bomba]]).
 
== Hali ya hewa ==
[[Picha:China precipitation.jpg|thumbnail|left|180px|Kanda za usimbishaji za China]]
Kuna kanda 18 za [[hali ya hewa]] zinazoonyesha tofauti kubwa kati yake. Upande wa magharibi, kaskazini na kaskazini-mashariki huwa na [[majira]] yenye [[joto kali]] na [[baridi kali]]. Upande wa kusini ina tabia ya [[tropiki]] au nusutropiki. [[Tibet]] huwa na hali ya hewa kulingana na [[kimo]] chake juu ya mita 4,000.
[[Ramani]] ya usimbishaji inaonyesha ya kwamba [[kilimo]] kinawezekana katika [[nusu]] ya kusini na kusini-mashariki ya nchi tu. Upande wa kaskazini na magharibi mvua ni ndogochache mno. Mstari mwekundu unaonyesha mpaka na juu yake usimbishaji ni chini ya [[milimita]] 390 kwa [[mwaka]].
 
== Historia ==
Line 117 ⟶ 119:
* [[Nasaba ya Qing]] (1644 - [[1911]])
 
[[Utawala]] wa kifalme uliendelea hadi [[mapinduzi ya China ya 1911]].
 
Baada ya kipindi cha vurugu, jamhuri ya China ilitawaliwa na [[Chama cha kisiasa|chama]] cha [[Kuomintang]] chini ya [[rais]] [[Chiang Kai-shek]].
 
Wakati wa [[vita kuu ya pili ya dunia]] sehemu kubwa ilitwaliwa na [[Japani]]. Wakati huo [[Chama cha Kikomunisti cha China]] kiliandaa [[jeshi]] kikapambana na serikali ya Kuomintang na Japani pia.
Line 126 ⟶ 128:
 
== Siasa ==
[[Serikali]] ya China inatawala kwa [[mfumo]] wa [[udikteta]] chini ya [[uongozi]] wa [[Chama cha Kikomunisti ya China]]. Kuna vyama vidogo pia, lakini hivi havina umuhimu wowoteː vinasimamiwa na Wakomunisti, hivyo hali halisi ni mfumo wa [[chama kimoja]].
 
[[Katiba|Kikatiba]] chombo kikuu ni [[Bunge]] la umma la China linalomchagua [[rais]], serikali, [[mahakama kuu]], kamati kuu ya kijeshi na [[mwanasheria mkuu]]. Lakini hali halisi maazimio yote ya bunge ni utekelezaji tu wa maazimio ya uongozi wa chama cha Kikomunisti.
 
Uongozi huo ni kundi dogo la wakubwa wa chama na [[jeshi]]. [[Mwanasiasa]] muhimu ni mwenyekiti [[Xi Jinping]]. Kwa sasa yeye anaunganisha [[Cheo|vyeo]] vya [[Katibu Mkuu]] wa Chama cha Kikomunisti, Rais wa Jamhuri ya Watu wa China na [[mwenyekiti]] wa Kamati Kuu ya Kijeshi. Kwa jumla katika [[mapokeo]] ya kikomunistiKikomunisti vyeo vya chama ni muhimu kuliko vyeo vya serikali ingawa katiba na [[sheria]] inasema tofauti.
 
Kuna pia "maeneo yenye utawala wa pekee" ambayo ni [[Hongkong]] na [[Macau]]. Katika miji hiyo miwili, iliyokuwa makoloni ya Uingereza na Ureno, kuna [[uhuru wa kisiasa]] na wa [[uandishi]], [[uchaguzi huru]] na [[upinzani]] kamilikwa kiasi fulani, lakini maeneo yana tu [[madaraka]] kadhaa ya kujitawala kwa mambo ya ndani.
 
== Watu ==
China ikiwa na wakazi milioni 1,376 ni nchi yenye watu wengi zaidi duniani. [[Historia]] yake yote iliona tena na tena vipindi vya [[njaa]] kutokana na idadi kubwa ya watu wake. [[Msongamano]] wa watu kwa [[wastani]] ni wakazi 145 kwenye kilakwa [[kilomita ya mraba]]. Lakini tofauti ziko kubwa kati ya miji mikubwa ambako milioni 115 wanakaa kwenye eneo la [[km²]] 50,000 na Tibet yenye watu 2 tu kwa kilomita ya mraba.
 
Zaidi ya [[asilimia]] 90 za wakazi wote wanakaa katika [[theluthi]] ya kusini-mashariki ya nchi yenye mvua ya kutosha. Ndani ya [[theluthi]] hiyo ni nusu ya Wachina wote wanaosongamana kwenye asilimia 10 za China yote, maana yake katika 10% hizi kuna msongamano wa watu 740 kwa km².
 
Wakazi walio wengi ni [[Wahan]] au Wachina wenyewe. Wanatumia hasa [[lahaja]] mbalimbali za [[lugha]] ya [[Kichina]]. Pamoja na Wahan kuna ma[[kabila]] 55 yaliyotambuliwa na [[serikali]]. Kwa jumla [[lugha hai]] ni 292 ambazo zinahusika na makundi mbalimbali ya lugha (angalia [[orodha ya lugha za China]]).
 
Serikali inafuata rasmi [[ukanamungu]], lakini inaruhusu [[dini]] kwa kiasi fulani. Pamoja na hayo, [[dhuluma]] zinaendelea dhidi ya [[madhehebu]] mbalimbali. [[Takwimu]] hazieleweki, pia kwa sababu kabla ya Ukomunisti kupinga dini, hasa wakati wa [[Mapinduzi ya utamaduni]], watu waliweza kuchanganya mafundisho na [[desturi]] za [[Ukonfusio]], [[Utao]] na [[Ubuddha]]. Leo wanaoendelea kufanya hivyo wanakadiriwa kuwa asilimia 30-80 za wakazi. [[Wabuddha]] ni 6-16%, [[Wakristo]] (hasa [[Waprotestanti]], halafu [[Wakatoliki]] na kidogo [[Waorthodoksi]]) ni 2-4%, [[Waislamu]] ni 1-2%.
 
== Tazama pia ==
Line 219 ⟶ 221:
 
==Viungo vya nje==
{{Commons|China}}<!-- -->
* [http://english.peopledaily.com.cn/china/home.html China at a Glance] from ''[[People's Daily]]''
* [http://www.bbc.co.uk/news/world-asia-pacific-13017877 BBC News – China Profile]