Jamhuri ya Watu wa China : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 61:
China imepakana na [[Vietnam]], [[Laos]], [[Myanmar]], [[India]], [[Bhutan]], [[Nepal]], [[Pakistan]], [[Afghanistan]], [[Tajikistan]], [[Kyrgyzstan]], [[Kazakhstan]], [[Urusi]], [[Mongolia]], [[Korea ya Kaskazini]].
 
Kuna [[pwani]] ndefu kwenye [[Bahari ya Kusini ya China]] na [[Bahari ya Uchina ya Mashariki|Bahari ya Mashariki ya China]] ambazo ni [[bahari ya kando]] ya [[Pasifiki]].
 
China kuna ma[[kabila]] 56 tofauti. [[Wahan]] ndio kabila kubwa zaidi nchini China kwa [[idadi]] ya [[watu]] ikiwa na [[asilimia]] 92.