Insha za hoja : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 13:
# Baada ya mvuto huu mkubwa uliomteka msomaji, endelea kwa kumpa [[historia]] ya hoja yako. Historia hii humfanya msomaji aone kwamba hoja yako ina [[mizizi]] na kwa hiyo hujachukulia utafiti wako kijuujuu, bali umeufanya kwa [[kina]].
# Toa hoja yako kwa kina na [[ukamilifu]]. Madhumuni ya insha yako ni kuitoa hoja kwa hali itakayoeleweka. Hakikisha kwamba umeitoa hoja vizuri kwa [[lugha]] nyepesi atakayoielewa msomaji
# Weka nukuu katika [[kazi]] yako. Baada ya kufanya haya yote, ni muhimu kunukuu [[maandishi]] mengine ambayo umetumia ili kuandika insha yako. Usipofanya hivi, itaonekana kana kwamba wewe ni [[mwizi]] wa hoja za wengine. KwaMtandaoni kutumiainapatikana kifaamisaada kamaya [https://leo-green.comkutia APAnukuu Citation Generator], utaweza kunukuukatika kazi yako.
 
==Tanbihi==