Mwai Kibaki : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 48:
==Serikali ya Januari 2007==
Baada ya kutangazwa kuwa rais mpya Kibaki aliteua mawaziri 17 kama awamu ya kwanza ya serikali akiacha nafasi nyingine serikalini kando kwa muda.
: (1) Makamu wa Rais na waziri wa mambo ya ndani: [[Stephen Kalonzo Musyoka]]
*(2) Waziri wa utawala wa mikoa na usalama wa ndani katika Ofisi ya Rais: [[George Saitoti]]
*: (3) Waziri wa ulinzi katika Ofisi ya Rais: Yussuf Mohamed Haji
*(4) Waziri wa mipango maalumu katika Ofisi ya Rais: Dr. Naomi Namsi Shaban
*(5) Waziri wa utumishi wa serikali katika Ofisi ya Rais: Asman Abongotum Kamama
*(6) Waziri wa fedha: Amos Muhinga Kimunya
*(7) Waziri wa elimu: [[Sam Ongeri]]
*: (8) Waziri wa mambo ya nje: Moses Wetangula
*(9) Waziri wa serikali ya mitaa: [[Uhuru Kenyatta]]
*(10) Waziri wa habari na mawasiliano: Samuel Lesuron Poghisio