Tofauti kati ya marekesbisho "Jioni"

281 bytes added ,  miaka 2 iliyopita
no edit summary
 
[[Image:Sunset in Coquitlam.jpg|thumb|right|Kutwa huko [[Coquitlam]], [[British Columbia]], [[Canada]].]]
'''Jioni''' (yaani "kwenye jio" la usiku) ni kipindi cha [[siku]] ambachokaribu na [[machweo]] ambako [[mwanga]] wa [[mchana]] unazidi kupungua hata kuingia kwa giza la [[usiku]].
 
Kwa [[binadamu]] na [[wanyama]] wengi ndio [[wakati]] wa kuacha [[shughuli]] mbalimbali na kujiandaa kwa [[usingizi]], ingawa uenezi wa [[taa]] umebadilisha sana [[ratiba]] ya watu wengi.
 
Katika [[dini]] mbalimbali, ni wakati muhimu wa [[sala]].
 
Katika [[kalenda ya Kiyahudi]] na [[kalenda ya Kiislamu]] jioni ni mwisho wa siku na kuanzia machweo ni mwanzo wa siku mpya, tofauti na hesabu sabifu ya kimataifa inayohesabu siku mpya kuanzia "katikati ya usiku" yaani saa sita usiku (24.00 [[h]] au 0.00 h)
 
{{siku}}