'''Madrasa''' ni(kutoka مدرسة, madrasah, [[neno]] la kiarabu[[Kiarabu]] lenye maana ya [[shule]], [[chuo]] au [[chuo kikuu.]] <ref>[http://islamictides.com/en/kunena/20-lugha-na-tamaduni-zetu-languages-culture/2428-madrasa-nini-maana-ya-taasisi-hii-katika-mfumo-wa-elimu-ya-mwanadamu Madrasa]</ref>) katika [[Kiswahili]] ni mahali panapotolewa mafunzo ya [[Kurani]] kwa [[watoto]] wa [[Kiislamu]]. Mara nyingi yanapatikana karibu na [[mskiti]].