Siku : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Protected "Siku" ([Kuhariri=Zuia watumiaji wapya au wale ambao hawajajisajilisha] (bila mwisho) [Kuhamisha=Zuia watumiaji wapya au wale ambao hawajajisajilisha] (bila mwisho))
No edit summary
 
Mstari 1:
[[Picha:Rotating earth (large).gif|thumb|300px|MudaMabadiliko waya siku husababishwa na mzunguko wa dunia yetu kwenye mhimili wake. Hapa tunatazama upande wa mchana unaoangazwa na jua. Upande mwingine ni upande wa giza au usiku.]]
'''Siku''' ni muda wa [[wakatimuda]] wa [[saa]] 24 ambamo tunaona vipindi viwili;: kile cha [[mwanga]] wa [[mchana]] na kile cha [[giza]] la [[usiku]].
 
== Mchana na usiku ==
Mabadiliko hayahayo ya mchana na usiku husabibishwa na mzunguko wa [[dunia]] kwenye [[mhimili]] wake. Upande wa dunia unaotazama [[jua]] unapata mwanga wa mchana lakini upande mwingine usiotazama jua unakuwa gizani.
 
Sisi pamoja na [[Kitu|vitu]] vyote vilivyo juu ya uso wa dunia, yaani majengo, barabara, [[bahari]], [[mito]], [[milima]], [[binadamu]], [[misitu]], [[Jangwa|majangwa]], [[Jengo|majengo]], [[barabara]] na kila kitu unachoweza kuwaza kuwa kipo kwenye uso wa dunia, basi vyote huwa katika mwendo kadrikadiri dunia inavyojizungusha kwenye mhimili wake. Hivyo basi, wakati upande ule wa uso wa dunia tulipo unapogeukia au kutazamana na jua, basi kwetu inakuwa mchana, pale ambapo upande huo hatutazamani na dunia, basi tunapata usiku, yaani tunakuwa kwenye giza.
 
==Mwanzo na mwisho==
Mwanzo na mwisho wa siku ni jambo la mapatano baina ya watu ma hapa kuna kawaida tofautitofauti katika [[tamaduni]] za Dunia.
 
[[Uchumi]] na [[sheria]] siku hizi hufuata [[muda sanifu wa dunia]] unaopanga mwisho na mwanzo wa siku ya [[kalenda]] katikati ya usiku, yaani saa sita usiku, au kwa [[lugha]] nyingine kwenye 24:00 au 0:00 [[h]].
 
Kalenda za kidini kama kalenda ya Kiyahudi na Kalenda ya kiislamu hupanga mwisho wa siku wakati wa [[machweo]], ambayo ni pia mwanzo wa siku mpya. Kwa sababu hii sherehe ya Sabato katika Uyahudi ambayo inalingana na Jumamosi inaanza baada ya machweo kwenye Ijumaa, na pia utaratibu wa kuzuia kazi unakwisha kwenye jioni ya Jumamosi baada ya machweo.
 
Kalenda za [[dini|kidini]] kama [[kalenda ya Kiyahudi]] na [[Kalenda ya kiislamu]] hupanga mwisho wa siku wakati wa [[machweo]], ambayo ni pia mwanzo wa siku mpya. Kwa sababu hiihiyo [[sherehe]] ya [[Sabato]] katika [[Uyahudi]] (ambayo inalingana na [[Jumamosi]] ya [[Kiswahili]]) inaanza baada ya machweo kwenye [[Ijumaa]], na pia utaratibu wa kuzuia [[kazi]] unakwisha kwenye [[jioni]] ya Jumamosi baada ya machweo.
 
== Muda wa siku ==
Mzunguko huo wa dunia kwenye mhimili wake unachukua muda wa [[nukta]] (sekunde) 86,400 au ma[[saa]] 24.
 
Kwa sababu muda wa mzunguko haulingani kamilikikamilifu na [[kipimo]] cha sekunde kuna siku ndefu au fupi zinazopatikana kwa kuingiza au kupunguza nukta moja kufuatana na azimio ya [[wataalamu]] wa [[wakati]]. Hii haina umhimuumuhimu wowote katika [[maisha]] ya kila siku lakini inapaswa kuangaliwa pale ambakoambapo saa kamili sana ya [[Atomi|kiatomi]] hutumiwa.
 
== Siku na mwaka ==
Dunia, pamoja na kujizungusha kwenye mhimili wake, pia inafanyaina mwendo mwingine pia , yaani ule wa kulizunguka jua. Ikikamilisha mwendo huu basi [[mwaka]] unakuwa umekamilika. Kipindi cha mwaka hakilingani kwa kila mwaka,: kuna miaka mirefu na miaka mifupi. Hii ni kwa mujibu wa [[Kalenda ya Gregori]] ambapo mwaka wa kawaida (mfupi) huwa na siku 365 na kila mwaka wa nne (mwaka mrefu) kuwa na siku 366.
 
{{siku}}
<!-- interwiki -->ḕ
 
[[Jamii:Wakati]]