Longido : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 17:
}}
 
'''Longido''' ni [[mji]] mdogo na [[makao makuu]] ya [[Wilaya ya Longido]] katika [[Mkoa wa Arusha]] upande wa [[kaskazini]] wa [[Tanzania]] yenyewenye [[postikodi]] [[namba]] '''23501'''<ref>https://www.tcra.go.tz/images/documents/postcode/arusha.pdf</ref>. Iko kwenye barabarani[[barabara]] katikati ya miji ya [[Arusha (mji)|Arusha]] na [[Namanga]] mpakani namwa [[Kenya]].
 
Wakati wa [[sensa]] iliyofanyika mwakam[[w]]aka wa [[2012]], kata ilikuwa na wakazi wapatao 2,285 <ref>[http://www.meac.go.tz/sites/default/files/Statistics/Tanzania%20Population%20Census%202012.pdf Sensa ya 2012, Arusha - Longido DC]</ref> walioishi humo.
 
Wakazi ni hasa [[Wamasai]]. Longido iko kando laya [[mlima Longido]] mwenyewenye [[kimo]] cha [[mita]] 2,629 juu ya [[UB]].
 
Kuna [[Duka|maduka]], nyumba za wageni, [[hoteli]], vilabu, kituo cha [[polisi]], [[shule ya msingi]] na ya [[sekondari]] pamoja na [[kanisa|makanisa]] mbalimbali.
 
==Marejeo==
Mstari 31:
[[Jamii:Wilaya ya Longido]]
[[Jamii:Mkoa wa Arusha]]
 
[[Jamii:Miji ya Tanzania]]