Unju bin Unuq : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 6:
Moja ya mambo ya ajabu ya mtu huyu ni [[urefu]] wake yaani [[kimo]], inasadikiwa alikuwa na urefu mkubwa ulioweza kumfanya atembee [[Bahari|baharini]] na [[miguu]] yake kugusa chini.
 
Pia alikuwa akitembea kutoka nchi hadi nchi kutokana na urefu wake. Inasimuliwa kuwa moja kati ya nyayo zake inapatikana kwenye [[jiwe]] alilokanyaga huko [[Tabora]], Tanzania, [[wayounyayo]] wa mguu wa kushoto wakati wayounyayo wa mguu wa kulia ulionekana kwenye jiwe alilokanyaga huko [[Kongo]].
 
Inasimuliwa pia akitaka kula alikuwa akichukua [[samaki]] baharini kwa mkono na kuchoma katika [[jua]] kisha anakula.