Kasoko : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 7:
* [[Kasoko ya volkeno]]: shimo ambako [[lava]] inatoka nje
 
Kasoko kubwa zaidi duniani zilisababishwa na meteoridi zilizogonga dunia yetu. Kasoko kubwa iliyojulikana hadi 2006 ilikuwa kasoko ya [[Vredefort]] nchini ([[Afrika Kusini]]) yenye umbo la yai ya urefu wa 320 km na upana wa 180 km.
 
Mwaka 2006 wataalamu waligundua kasoko kubwa zaidi yenye kipenya cha 500 km huko [[Antarktika]] katika picha zilizopigwa angani. Iko chini ya barafu ya Antarktika katika eneo la Wilkes Land inatajwa kwa kifupi cha WLIC (kiing.: Wilkes Land impact crater). Kasoko ya WLIC inaaminiwa imesababishwa na meteoridi yenye kipenyo cha takriban 5 km.
 
<gallery>