Bundi-panga : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
replace misidentified pic
No edit summary
Mstari 19:
| spishi = Angalia katiba
}}
'''Bundi-panga''' ni [[Ndege (mnyama)|ndege]] mbuambuai wa [[jenasi]] mbalimbali za [[nusufamilia]] [[Surniinae]] katika [[familia (biolojia)|familia]] [[Strigidae]].

Wengi baina ya ndege hawa wana ukubwa wa [[bundi]], lakini wengine ni wadogo zaidi na wengine wakubwa zaidi.

Wana [[rangi]] ya kahawa[[kahawia]] au [[kijivu]] na wengi wana miraba kwa kidari kama [[kipanga|vipanga]] (hii na jinsi yao ya kuwinda ni sababu za [[jina]] lao). Spishi dogondogo hula [[mdudu|wadudu]] hasa, lakini spishi kubwa huwinda [[mnyama|wanyama]], [[ndege]] na [[mtambaazi|watambaazi]] pia. Huwinda wakati wa magharibi[[jioni]], [[usiku]] na [[alfajiri]] na pengine [[mchana]]. Mara nyingi wamfukuza windo lao kama kipanga.

Jike huyataga [[mayai]] 2-6 katika [[shimo]] ndani ya [[mti]].
 
==Spishi za Afrika==