Mbawakawa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d ChriKo alihamisha ukurasa wa Mende-kibyongo hadi Mbawakawa: Jina hili ni bora
Masahihisho
Mstari 1:
{{Uainishaji
| rangi = pink
| jina = Mende-kibyongoMbawakawa
| picha = Pimelia angulata.JPG
| upana_wa_picha = 300px
Mstari 17:
* [[Polyphaga]]
}}
'''Mende-kibyongoMbawakawa''' au(pia '''kombamwiko-kibyongombawakavu''') ni jina la kawaida la [[wadudu]] wadogo hadi wakubwa ya [[oda]] [[Coleoptera]]. Majina mengine yanayotumika ni '''mende''' na '''kombamwiko''', lakini kwa kuwa majina haya hutumika pia kwa wadudu wa oda [[Blattodea]], ni bora kutumia '''mende-kibyongo''' na '''kombamwiko-kibyongo'''.

Kwa kawaida [[kiunzi nje]] cha wadudu hawa ni kigumu sana. Hata [[bawa|mabawa]] ya mbele yamekuwa kama [[gamba|magamba]] magumu na pengine magamba haya yameungika kwa kuwa moja. Kiunzi kigumu hiki kinazuia mbuai wadogo wasiwale mende-kibyongo. Sehemu za kinywa ni sahili lakini spishi mbuai zina [[mandibuli]] kubwa na kali mara nyingi. Macho yao yameunda kwa sehemu nyingi kama wadudu wote lakini macho ni madogo kwa kulinganisha na kichwa kuliko wadudu wengi wengine.
 
Oda ya Coleoptera ni kubwa kuliko oda zote za [[mnyama|wanyama]] na ina zaidi ya [[spishi]] 400,000. Spishi nyingi bado hazijafafanuliwa na wataalamu wanakisia kwamba jumla ya spishi itazidi milioni moja na kwamba 25% ya spishi zote za wanyama ni Coleoptera. Kwa sasa karibu na 40% ya spishi za nyama zilizofafanuliwa ni Coleoptera. Lakini karibuni hivi wanasayansi wameanza kumaizi kwamba oda hii si [[monofiletiki]], yaani haina mhenga mmoja tu. [[Nusuoda]] ya [[Adephaga]] inaweza kuwa oda na labda makuni mengine ya Coleoptera yatapewa oda zao.
 
Kuna majina mbalimbali kwa makundi ya mende-kibyongo, kama vile: [[bungo]], [[dundu]], [[fukusi]], [[kidungadunga]], [[kimetameta]]/[[kimulimuli]], [[kipukusa (mdudu)|kipukusa]], [[kisaga]], [[mbawakau]], [[mdudu-kibibi]], [[sururu]] na [[tuta]].
 
==Picha==