Majira ya baridi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Sahihisho
No edit summary
Mstari 12:
 
Majira haya tofauti hupatikana zaidi katika [[ukanda]] wa [[tropiki]].
 
== Wanyama, mimea, binadamu na majira ya baridi ==
 
Ili kuhimili ukali wa majira ya baridi, wanyama wengi wana njia mbalimbali za kimaumbile na kitabia.
 
* Uhamaji ni mbinu mojawapo inayotumiwa hasa na ndege wakati wa baridi. Hata hivyo, ndege wengi hawahami. Baadhi ya vipepeo pia huhama msimu huu.
 
* Wanyama wengine hulala ili kupunguza shughuli metaboli mwilini wakati wa majira ya baridi. Wanyama hawa kama vile vyura, nyoka, na popo huamka msimu huu unapomalizika.
 
* Wanyama wengine huhifadhi chakula watakachokula wakati wa majira ya baridi.
 
* Wanyama wengine huishi majira ya baridi lakini hujibadilisha kama vile rangi. Rangi ya manyoya hubadilika kuwa nyeupe (ili kufamama na theluji). Mifano ya wanyama hawa ni kama vile mbweha wa Aktiki, sungura wa mlimani, n.k.
 
* Wanyama wengine wenye manyoya hukuza manyoya yao kama wakati wa baridi; hii inaboresha uwezo wa manyoya kuhifadhi joto.
 
* Msimu huu huathiri pia tabia za wanyama. Kwa mfano panya kawaida huishi chini ya theluji.
 
* Baadhi ya mimea ya kila mwaka haiwezi kuishi wakati wa baridi. Hata hivyo, mimea mingine ya kila mwaka inahitaji baridi kukamilisha mzunguko wa maisha yao. Baadhi ya mimea ya msimu hufaidika kwa kufunikwa na theluji wakati mimea mikubwa huacha sehemu ya juu kulala huku mizizi yake ikihifadhiwa na theluji.
 
Binadamu nao hufanya mambo mbalimbali ili kuweza kukabiliana na majira ya baridi.
* Msaada wa kibinadamu hutolewa kwa mfano na Shirika la Umoja wa Mataifa la Wakimbizi (UNHCR), kama vile usambazaji wa vitu ikiwa ni pamoja na mablanketi, mafuta ya taa, mazulia ya sakafu yanayopasha nyumba joto, n.k.
* Baadhi ya nyumba za majira ya joto, ambazo zilijengwa kwa ajili ya matumizi ya majira ya joto tu zinahitaji kutunzwa wakati wa majira ya baridi. Wakati wa msimu huu nyumba hizi hutunzwa kwa kufungwa, kuzima maji, umeme, na mistari ya simu, na kulinda vipengele mbalimbali kutokana na theluji kubwa ya theluji.
 
Kwa mfano katika eneo la New England, nchini Marekani familia nyingi tajiri zilizoishi humo wakati wa karne ya 19 zilikuwa na nyumba za majira ya joto milimani ili kuondoka mwanzoni mwa magonjwa kwa homa ya njano na magonjwa mengine ambayo mara nyingi yalijitokeza katika miezi ya majira ya joto.
 
* Vifaa vinavyotumiwa wakati wa majira ya baridi kama vile magari, vifaa vya elektroniki, vifaa vya kilimo na umwagiliaji, boti na radio pamoja na vifaa vya kawaida (metali, rubbers, mafuta ya petroli) huwezeshwa kutumiwa msimu huu kwa njia mbalimbali kama matumizi ya kemikali maalum.
 
* Mabwawa ya samaki yanahitaji hatua kadhaa za ziada ili kuhakikisha kuwa samaki wanaishi vyema wakati wa baridi.
 
==Marejeo==
Line 17 ⟶ 46:
 
==Viungo vya nje==
*[http://www.gi.alaska.edu/ScienceForum/ASF4/443.html Hydraulic pressure in that part of the water last to freeze]
*[http://reliefweb.int/report/iraq/winterization-assistance-urgent-priority-enku Umuhimu wa msaada wa kibinadamu wakati wa majira ya baridi]
*[http://www.boatsafe.com/nauticalknowhow/winteriz.htm Jinsi ya kutunza boti]
*[http://toplistly.com/how-to-winterize-your-garden-hose-reel/ Jinsi vifaa ya bustani vinavyotunzwa]
*[https://www.youtube.com/watch?v=7FBv1CYZ0_M Video fupi ya katuni kuhusu sababu za kuwepo kwa majira ya baridi]
 
{{commons|Winter}}
 
 
 
{{Mbegu-sayansi}}