Wikipedia:Sanduku la mchanga : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 22:
Shuleni MB Salone alikuwa na wakati mgumu na hakuhitimu mitihani yake. Mara kwa mara alijipata taambani tokana na uchechi wake na utovu wa nidhamu uliochangia pakubwa kufeli mitihani.<ref name=":4" /> Akiwa darasa la saba unga ulizidi maji na akatiwa mbaroni alipoiba duka la Target [[Jacksonville, Florida]] Shauku yake ya muziki ilikuwa inakita mizizi na mwaka wa 2007 akiwa shule ya upili ya Wolfson mle Jacksonville Florida alikuwa ashaanza kutengeneza mindondo ya R&B and Trap. Kwa bahati mbaya uundaji wa midundo ulikuwa unachukua muda wake mwingi na masomo yake shuleni yaliendelea kudidimia na hatimaye alifukuzwa shuleni akiwa mwaka wake wa mwisho kwa kutohudhuria darasa mara mingi. MB Salone alibahatika kurudi shuleni na mwaka wa 2014 akajiunga na chuo cha kiufundi cha wanajamii ya Prince Georges ([[Prince George's Community College]]) iliyoko Largo, katika [[Prince George's|kaunti ya Prince George's]], [[Maryland]] . Alifuzu programu ya GED na akapata stashahada yake mwaka wa 2015.<ref name=":2" />
 
==Maisha ya diamod==
== Utayarishaji Rekodi ==
Maisha ya diamod hapo alikuwa magumu wakati hajaanza kurekodi nyimbo "alikuwa muuza karanga mitaani" historia yake diamod ukichunguza kwa makini unaweza kujua kuwa maisha ni kupanda na kushuka. Sasa diamod plantmunz ni billioners. Tena sasa diamod amefungua biashara yake ya kukumbukia historia ya maisha yake ambayo inaitwa [diamod karanga] hii ni biashara ambayo ameianzisha baada ya kukumbukia safari yake ya maisha yalivyokuwa. Na biashara hii imempa umarufu zaidi kwa watu.
Maisha ya MB Salone katika muziki ilianza mwaka wa 2001 alipokutana naye Fred Marshall nje ya duka la dawa la Walreens Atlanta akiuza rekodi alizokuwa ameunda. Fred Marshall alifurahishwa na kazi yake na akachukua hatua ya kumjulishana naye Mike Snotty Miller, Sonny Digital na Dj UNK.<ref name=":2" />
 
Mike Snooty Miller alimchukua MB Salone kama mwanafunzi wake na kumfunza sanaa ya uundaji rekodi. MB Salone alishilikiana naye Mike Snooty katika kazi mingi ikiwemo rekodi "Carousel" yake Kylie Beniamino na kadhaa za Dj Unk. Pia alifanya kazi na wanamuziki wengine wengi ikiwemo Yung Dro, T. Rone, Tokyo Jetz na wengine wengi waliokuwa wanaanzia uimbaji.<ref name=":0" /><ref name=":2" /> Mwaka wa 2017 MB Salone alipatiwa nafasi kufanya kazi naye Lil Key na akiwa naye Mr. Wilson waliunda kibao chake "Short Right There". Kibao hiki kifakiwa kutumika na MTV baadaye katika vipindi zake "My Super 16" na kipindi "Rap Game" msimu wa pili. MB Slone pia aliunda video ya rekodi hii akishirikiana naye DJ. J. Remy.<ref name=":2" />
 
Mbali na kuwasaidia wanamuziki wengine, MB Salone pia arishirikia naye T. Rone mwaka 2017 wakatoa wimbo "Main Lady". <ref>{{Cite web|url=http://thisis50.ning.com/profiles/blogs/exclusive-feature-mb-salone-main-lady|title=Exclusive Feature: MB Salone - Main Lady|author=Now Hip Hop|date=13 May 2017|language=en-US|work=Thisis50 Website|accessdate=12 July 2018}}</ref> na February mwaka uliofuata wa 2018 alitoa albamu yake ya muziki wa ala (instrumentals) yenye traki kumi na sita.<ref name=":3" />
 
== Diskografia ==