Majira ya baridi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[File:Tallinn cityview.jpg|thumb|[[Tallinn]], [[mji mkuu]] wa [[Estonia]], ulivyofunikwa na [[theluji]] tarehe [[1 Januari]] [[2010]].]]
[[File:PN Tierra del Fuego (Hiver).jpg|thumb|Theluji kusini mwa dunia: [[Tierra del Fuego]], [[Argentina]].]]
'''Majira ya baridi''' (pia: '''[[kipupwe]]'''; kwa [[Kiingereza]] '''Winter''') ni mojawapo kati ya [[majira]] manne ya kanda za wastani, na [[halijoto]] yake ni ya [[baridi]] kuliko majira mengine. Ni kinyume cha [[majira ya joto]] au [[chaka]].
 
Pengine baridi inakuwa kali sana na kuendana na [[barafuto]]: ndiyo maana maeneo mengine ya [[dunia]] hayana wakazi wa kudumu, hasa [[bara]] la [[Antaktiki]]. Ni kinyume cha [[majira ya joto]] au [[chaka]].
Kwa [[Kiswahili]] majira ya baridi pia huitwa [[kipupwe]].
 
Pengine baridi inakuwa kali sana na kuendana na [[barafuto]]: ndiyo maana maeneo mengine ya [[dunia]] hayana wakazi wa kudumu, hasa [[bara]] la [[Antaktiki]]. Ni kinyume cha [[majira ya joto]] au [[chaka]].
 
Yanafuata [[majira ya kupuputika majani]] (kwa Kiingereza "Fall" au "Autumn") na kutangulia [[majira ya kuchipua]] (kwa Kiingereza "Spring").
 
Majira hayo yanatokea [[duniani]] kwa nyakati tofauti kadiri eneo husika lilivyo [[kaskazini]] au [[kusini]] kwa [[ikweta]]. Hata katika nchi ileile, kwa mfano [[Kenya]], majira ni tofauti upande huu na upande huu wa ikweta.
 
Majira hayahayo tofauti hupatikana zaidi katika [[ukanda]] wa [[tropiki]].
 
== Wanyama, mimea, binadamu na majira ya baridi ==
Ili kuhimili ukali wa majira ya baridi, [[wanyama]] wengi wana njia mbalimbali za [[Maumbile|kimaumbile]] na [[Tabia|kitabia]].
 
* [[Uhamaji]] ni mbinu mojawapo inayotumiwa hasa na [[Ndege (mnyama)|ndege]] wakati wa baridi. Hata hivyo, ndege wengi hawahami. Baadhi ya [[vipepeo]] pia huhama [[msimu]] huu.
Ili kuhimili ukali wa majira ya baridi, wanyama wengi wana njia mbalimbali za kimaumbile na kitabia.
 
* UhamajiWanyama niwengine mbinuhulala mojawapoili inayotumiwakupunguza hasashughuli na[[metaboli]] ndege[[Mwili|mwilini]] wakati wa majira ya baridi. HataWanyama hivyohao, ndegekama wengivile hawahami.[[vyura]], Baadhi[[nyoka]], yana vipepeo[[popo]] pia huhamahuamka msimu huu unapomalizika.
 
* Wanyama wengine hulalahuhifadhi ili[[chakula]] kupunguza shughuli metaboli mwiliniwatakachokula wakati wa majira ya baridi. Wanyama hawa kama vile vyura, nyoka, na popo huamka msimu huu unapomalizika.
 
* Wanyama wengine huishi majira ya baridi lakini hujibadilisha kama vile [[rangi]]. Rangi ya [[unyoya|manyoya]] hubadilika kuwa [[nyeupe]] (ili kufamamakufanana na [[theluji]]). Mifano ya wanyama hawa ni kama vile [[mbweha]] wa [[Aktiki]], [[sungura]] wa [[Mlima|mlimani]], n.k.
* Wanyama wengine huhifadhi chakula watakachokula wakati wa majira ya baridi.
 
* Wanyama wengine wenye manyoya hukuza manyoya yao kama wakati wa baridi; hii inaboresha uwezo wa manyoya kuhifadhi [[joto]].
* Wanyama wengine huishi majira ya baridi lakini hujibadilisha kama vile rangi. Rangi ya manyoya hubadilika kuwa nyeupe (ili kufamama na theluji). Mifano ya wanyama hawa ni kama vile mbweha wa Aktiki, sungura wa mlimani, n.k.
 
* Msimu huu huathiri pia tabia za wanyama. Kwa mfano [[panya]] kawaida huishi chini ya theluji.
* Wanyama wengine wenye manyoya hukuza manyoya yao kama wakati wa baridi; hii inaboresha uwezo wa manyoya kuhifadhi joto.
 
* Baadhi ya [[mimea]] ya kila mwaka haiwezi kuishi wakati wa baridi. Hata hivyo, mimea mingine ya kila mwaka inahitaji baridi kukamilisha mzunguko wa [[maisha]] yao. Baadhi ya mimea ya msimu hufaidika kwa kufunikwa na theluji wakati mimea mikubwa huacha sehemu ya juu kulala huku [[mizizi]] yake ikihifadhiwa na theluji.
* Msimu huu huathiri pia tabia za wanyama. Kwa mfano panya kawaida huishi chini ya theluji.
 
[[Binadamu]] nao hufanya mambo mbalimbali ili kuweza kukabiliana na majira ya baridi.
* Baadhi ya mimea ya kila mwaka haiwezi kuishi wakati wa baridi. Hata hivyo, mimea mingine ya kila mwaka inahitaji baridi kukamilisha mzunguko wa maisha yao. Baadhi ya mimea ya msimu hufaidika kwa kufunikwa na theluji wakati mimea mikubwa huacha sehemu ya juu kulala huku mizizi yake ikihifadhiwa na theluji.
* Msaada wa kibinadamu hutolewa kwa mfano na [[Shirika la Umoja wa Mataifa la Wakimbizi]] ([[UNHCR]]), kama vile usambazaji wa [[Kitu|vitu]] ikiwa ni pamoja na [[blanketi|mablanketi]], [[mafuta ya taa]], [[Zulia|mazulia]] ya [[sakafu]] yanayopasha [[nyumba]] joto, n.k.
 
Binadamu nao hufanya mambo mbalimbali ili kuweza kukabiliana na majira ya baridi.
* Msaada wa kibinadamu hutolewa kwa mfano na Shirika la Umoja wa Mataifa la Wakimbizi (UNHCR), kama vile usambazaji wa vitu ikiwa ni pamoja na mablanketi, mafuta ya taa, mazulia ya sakafu yanayopasha nyumba joto, n.k.
* Baadhi ya nyumba za majira ya joto, ambazo zilijengwa kwa ajili ya matumizi ya majira ya joto tu zinahitaji kutunzwa wakati wa majira ya baridi. Wakati wa msimu huu nyumba hizihizo hutunzwa kwa kufungwa, kuzima [[maji]], [[umeme]], na mistari ya [[simu]], na kulinda vipengele mbalimbali kutokana na theluji kubwa ya theluji.
 
Kwa mfano katika eneo la [[New England]], nchini [[Marekani]], [[familia]] nyingi [[tajiri]] zilizoishi humo wakati wa [[karne ya 19]] zilikuwa na nyumba za majira ya joto milimani ili kuondoka mwanzoni mwa [[magonjwa]] kwa [[Homa ya manjano|homa ya njano]] na magonjwa mengine ambayo mara nyingi yalijitokeza katika miezi ya majira ya joto.
 
* [[Vifaa]] vinavyotumiwa wakati wa majira ya baridi kama vile [[magari]], [[vifaa vya elektroniki]], vifaa vya [[kilimo]] na [[umwagiliaji]], [[boti]] na radio[[redio]] pamoja na vifaa vya kawaida ([[metali]], rubbers, mafuta ya [[petroli]]) huwezeshwa kutumiwa msimu huu kwa njia mbalimbali kama matumizi ya [[kemikali]] maalum.
 
* [[Bwawa|Mabwawa]] ya [[samaki]] yanahitaji hatua kadhaa za ziada ili kuhakikisha kuwa samaki wanaishi vyema wakati wa baridi.
 
==Marejeo==
Line 46 ⟶ 43:
 
==Viungo vya nje==
{{commons|Winter}}
*[http://www.gi.alaska.edu/ScienceForum/ASF4/443.html Hydraulic pressure in that part of the water last to freeze]
*[http://reliefweb.int/report/iraq/winterization-assistance-urgent-priority-enku Umuhimu wa msaada wa kibinadamu wakati wa majira ya baridi]
Line 51 ⟶ 49:
*[http://toplistly.com/how-to-winterize-your-garden-hose-reel/ Jinsi vifaa ya bustani vinavyotunzwa]
*[https://www.youtube.com/watch?v=7FBv1CYZ0_M Video fupi ya katuni kuhusu sababu za kuwepo kwa majira ya baridi]
 
{{commons|Winter}}
 
 
 
{{Mbegu-sayansi}}