Majira ya joto : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[File:Field Hamois Belgium Luc Viatour.jpg|right|thumb|200px|[[Shamba]] la [[Ubelgiji]] katika majira ya joto.]]
'''Majira ya joto''' (pia: '''chaka'''; kwa [[Kiingereza]] '''Summer''') ni mojawapo kati ya [[majira]] manne ya kanda za wastani, na [[halijoto]] yake ni ya [[joto]] kuliko majira mengine.
 
Inaweza kulinganishwa na [[chaka]] ambayo ni kipindi cha joto katika [[Afrika za Mashariki]].
 
Kadiri ya [[umbali]] na [[ikweta]], [[mchana]] ni mrefu na [[usiku]] ni mfupi. Ndiyo sababu majira hayo yanaitwa ya [[joto]].
 
Sehemu nyingine joto ni kali kiasi kwamba kwa miezi 2-3 [[shule]] huwa zimefungwa.
Mstari 10:
Yanafuata [[majira ya kuchipua]] (kwa Kiingereza "Spring") na kutangulia [[majira ya kupuputika majani]] (kwa Kiingereza "Fall" au "Autumn").
 
Majira hayo yanatokea [[duniani]] kwa nyakati tofauti kadiri eneo husika lilivyo [[kaskazini]] au [[kusini]] kwa [[ikweta]]. Hata katika nchi ileile, kwa mfano [[Kenya]], majira ni tofauti upande huu na upande huu wa ikweta.
 
==Tanbihi==