Nyeri : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 21:
'''Nyeri''' ni [[mji]] wa [[Kenya]] ya kati, takriban [[kilomita]] 100 [[kaskazini]] kwa [[Nairobi]], wenye wakazi 130,000 (2005). Iko mguuni mwa [[safu ya Aberdare]] ikitazama [[mlima Kenya]].
 
Nyeri ni [[makao makuu]] ya [[Kaunti ya NyeruNyeri]]. Wakazi walio wengi ni [[Wakikuyu]].
 
Nyeri imejulikana kimataifa kwa sababu ni mahali pa kuzikwa kwa [[Robert Baden-Powell]] anayekumbukwa kama [[mwanzilishi]] wa harakati ya [[maskauti]]. Maskauti kutoka nchi mbalimbali za [[dunia]] hufika hapo mara kwa mara kwa kumheshimu [[mzee]] huyu.
{{Kaunti za Kenya}}
{{mbegu-jio-Kenya}}
[[Jamii:Miji ya Kenya]]