Meru : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Meru''' ni [[jina]] la kutaja:
* [[Kaunti ya Meru (Kenya)]] - nchi ya [[Wameru]] katika [[Mkoa wa Mashariki (Kenya)|Mkoa wa Mashariki]] ambao ni majirani wa [[Wakikuyu]], [[Waembu]] na [[Wakamba]].
* [[Meru, Kenya]] ni [[mji]] katika [[Kaunti ya Meru]]
* [[Mlima Meru]] nchini [[Tanzania]], jirani na [[Mlima Kilimanjaro]]
* [[Meru (Uhindu)]] ni jina la [[mlima]] katika masimulizi ya kidini ya [[Uhindu]]
* [[Meru (Ufaransa)]] ni mji mdogo kaskazini-mashariki ya [[Paris]].