Tofauti kati ya marekesbisho "Joseph Kabila"

9 bytes added ,  miaka 3 iliyopita
Tags: Mobile edit Mobile web edit
Tags: Mobile edit Mobile web edit
Joseph Kabila alizaliwa mjini [[Hewa Bora]] mkoani wa [[Kivu Kusini]] katika mashariki ya Kongo. Babake alikuwa mwanasiasa na kiongozi wa kikundi cha wanamgambo waasi waliopinga serikali ya [[Mobutu Sese Seko]].
 
Pamoja na familia ya baba Joseph alihamia [[Dar es Salaam]] ([[Tanzania]]. Alisoma shule ya msingi na ya sekondari katika [[Daressalaam]] na Irambashule Secondaryya Irambo Sekondari [[Mbeya]]. Anasemekana alitumia wakati ule jina la Hippolyte Kanambe Kazemberembe Kabange Mtwale kwa sababu za usalama.
 
1996 alijiunga na wanamigambo ya babake katika vita ya Kongo ya Mashariki.
Anonymous user