Kitambaa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Kuongeza matumzi zaidi ya kitambaa
Marejereo na viungo za nje
Mstari 1:
[[Picha:Traditional mud cloth.jpg|thumb|Kitambaa cha kitamaduni.]]
'''Kitambaa''' (pia '''kitambara''') ni kipande cha tambaa au [[jora]] ambalo kimekatwa ili kushonea [[vazi]] la [[binadamu]], kama vile [[shati]], [[sketi]] au [[suruali]], lakini pia ili kukitumia kwa madhumuni mengine, kama vile kutandika [[meza]], [[kochi]] au [[samani]] nyingine, kushonea pazia na kochi, kurembesha, kupenga, kuoshae, kupangusa vitu zilizomwagikiwa na uowevu na pia vitu kavu kama vile meza na madirisha ya glasi n.k.<ref>{{Cite web|url=http://www.pfwc.co.uk/cloths-use-cleaning-glass-windows/|title=Which cloths to use for cleaning glass and windows|author=Mod|date=2018-01-08|language=en-GB|work=PFWC|accessdate=2018-12-20}}</ref><ref>{{Cite web|url=http://canadianhometrends.com/fabric-different-types-and-their-uses/|title=Fabric - Different Types and Their Uses|author=Canadian Home Trends|date=2008-08-20|language=en-US|work=Home Trends Magazine|accessdate=2018-12-20}}</ref>
 
Siku hizi vitambaa vinatengenezwa kwa kawaida katika [[viwanda]]. Mara nyingi hutengenezwa kwa kuunganisha [[nyuzi]] pamoja, ziwe za [[asili]] au vitu vilivyotengenezwa na [[mwanadamu]]<ref>{{Cite web|url=http://www.ilearnfashion.com/clothing/different-types-fabrics-clothing-material-textile-sources-usages/|title=Different Types of Fabrics Clothing Material Textile – Sources and Usages|author=iLearnFashion|date=2018-01-25|language=en|work=Learn All About Fashion Outfits Beauty and Lifestyle|accessdate=2018-12-20}}</ref>. Mifano ya nyuzi za asili ni [[pamba]] na [[hariri]]. Mifano ya nyuzi za binadamu ni [[nailoni]] na [[akriliki]].
 
[[Rangi]] ya kitambaa inazingatiwa sana katika matumizi, kulingana na [[utamaduni]], hali n.k.
 
== Tanbihi ==
<references />
 
== Marejereo ==
 
* https://en.wikipedia.org/wiki/Textile
* https://en.wikipedia.org/w/index.php?title=Cloth&redirect=no
* https://en.wikipedia.org/wiki/List_of_textile_fibres
* https://en.wikipedia.org/wiki/Clothing_material
 
== Viungo za Nje ==
 
* Aina za nyuzi na kiini chake
{{mbegu-utamaduni}}