Joseph Kabila : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Tags: Mobile edit Mobile web edit
No edit summary
Mstari 2:
'''Joseph Kabila Kabange''' (* [[4 Juni]] [[1971]]) ni [[Orodha ya Marais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo|rais]] wa [[nne]] wa [[Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo]].
 
Aliingia [[urais]] baada ya [[kifo]] cha [[baba]] yake Rais [[Laurent-Desiree Kabila]] aliyeuawa na [[wanajeshi]] [[tarehe]] [[16 Januari]] [[2001]]. [[Wanasiasa]] wengine walimteua [[mwana]] kuwa rais badala ya baba.
 
Katika [[uchaguzi]] wa kitaifa wa tarehe [[30 Julai]] [[2006]] alipata [[kura]] nyingi kuliko wagombea wote kuwa rais lakini hakufikia [[nusu]] ya kura zote. Katika uchaguzi wa pili kati yake na [[Jean-Pierre Bemba]] alishinda akathibitishwa kuwa rais tarehe [[17 Novemba]] [[2006]]. Joseph Kabila ni rais wa kwanza wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo aliyechaguliwa na wananchi wote katika uchaguzi huru.
 
== Maisha yake ==
Joseph Kabila alizaliwa mjini [[Hewa Bora]] mkoanikatika [[mkoa]] wa [[Kivu Kusini]], katika [[mashariki]] yamwa Kongo. Babake alikuwa mwanasiasa na [[kiongozi]] wa kikundi cha [[wanamgambo]] waasi waliopinga [[serikali]] ya [[Mobutu Sese Seko]].
 
Pamoja na [[familia]] ya baba Joseph alihamia [[Dar es Salaam]] ([[Tanzania]]. Alisoma [[shule ya msingi]] na ya sekondari katika [[Daressalaamsekondari]] huko Dar es Salaam na shule ya sekondari [[Irambo]] Sekondari ([[Mbeya]]). Anasemekana alitumia wakati ule alitumia [[jina]] la Hippolyte Kanambe Kazemberembe Kabange Mtwale kwa sababu za [[usalama]].
 
Mwaka [[1996]] alijiunga na wanamigambowanamgambo yawa babakebaba yake katika [[vita yavya Kongo ya Mashariki]].
 
Baada ya [[ushindi]] wa wapinzani dhidi ya Mobutu, baba alikuwa rais na Joseph alipelekwa masomoni kwenye [[chuo cha kijeshi]] huko [[Uchina]]. Wakati wa kurudi alipewa [[cheo]] cha [[jenerali]] jeshini na mwaka [[2000]] alipandishwa cheo kuwa [[mkuu wa jeshi]].
 
Tangu kuwa raisirais mwaka 2001 Joseph Kabila alijitahidi kumaliza hali ya [[vita yavya wenyewe kwa wenyewe]] Kongo akakubali kufika kwa [[walinzi wa amani]] wa [[UM]].
 
Mnamo [[Desemba]] [[2002]] alikubali mapatano ya [[amani]] kati ya serikali na waasi yaliyokuwa msingi kwa ajili yawa kuundwa kwa serikaliy[[serikali aya umoja wa kitaifa]] na maandalizi ya uchaguzi wa mwaka [[2006]].
 
Katika [[Juni]] 2006 alimwoa [[Olive Lembe di Sita]] aliyekuwa [[mchumba]] wake wa miaka mingi na [[mama]] wa [[binti]] aliyezaliwa mwaka 2001.
{{mbegu-mwanasiasa}}
{{DEFAULTSORT:Kabila, Joseph}}
[[Jamii:Waliozaliwa 1971]]