James Joyce : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d All info is kept in Wikidata, removed: {{Link FA|en}} (4) using AWB (10903)
+image
 
Mstari 3:
 
Amejulikana hasa kwa riwaya zake za Ulysses (1922) na Finnegans Wake (1939) pamoja na hadithi fupi za "Dubliners" (1914).
[[File:Joyce - Dubliners, 1914 - 3690390 F.jpg|thumb|upright|left|''Dubliners'', 1914]]
 
Joyce alikuwa mwenyeji wa mji wa [[Dublin]]. Hata kama sehemu kubwa ya maisha yake aliishi nje ya Ueire mji huu wa nyumbani uliendelea kuwa mahali pa masimulizi yake na watu wa Dublin ni watu amabo maisha yao huonekana katika maandishi ya James Joyce.