Dunia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Protected "Dunia" ([Kuhariri=Ruhusa kwa wakabidhi tu] (bila mwisho) [Kuhamisha=Ruhusa kwa wakabidhi tu] (bila mwisho))
Mstari 79:
 
== Dunia kama mahali pa uhai ==
Dunia yetu ni sayari pekee inayojulikana mpaka sasa ambapo binadamu na viumbe vingine vinaweza kuishi. HapaWanasayansi bado wanafanya ufafiti kujua kama kuna sababukuna viumbe hai kwenye sayari nyingine. mbili
 
Hapa kuna sababu mbili zinazofanya viumbehai kuishi dunianiː
# dunia yetu ina umbali na jua unaofaa kwa maisha kwa sababu sayari zilizoko karibu zaidi na jua (k.m. [[Zuhura]]) zina joto kubwa mno na sayari zilizoko mbali zaidi kama [[Mrihi]] ni baridi mno.
# dunia yetu ina [[angahewa]] yenye asilimia 78 ya [[naitrojini]], asilimia 21 ya [[oksijini]] na asilimia 1 ya aina nyinginezo za [[hewa]], na kwa sababu hii uhai na maisha yanamakinika katika ardhi, kinyume na sayari nyinginezo.