Kemal Atatürk : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 11:
Atatürk aliamini ya kwamba sababu za kushindwa kwa Uturuki [[Vita|vitani]] zilikuwa [[desturi]] na [[imani]] za kale. Hivyo aliamua kubadilisha [[tabia]] za [[taifa]] lake.
 
Alifuta [[sharia]] ya [[Kiislamu]] na [[mahakama ya kadhi]]. Badala yake alianzisha [[sheria]] mpya zilizofuata mifano ya [[Uswisi]] na [[Italia]]. Sheria ilitangaza [[usawa wa jinsia]] na kuwapa [[wanawake]] [[haki]] ya kupiga [[kura]]. [[Nguo]] za Kiislamu na [[hijabkilemba]] zilipigwa marufuku.
 
[[Shule]] zilianzishwa kwa [[watoto]] wote. Mwaka [[1928]] ilifutwa [[alfabeti]] ya [[Kiarabu]] iliyotumiwa kuandika [[Kituruki]] na [[vitabu]] vipya vilionyesha [[maandishi]] ya [[lugha ya taifa]] kwa [[alfabeti ya Kilatini]]. [[Idadi]] ya watu waliojifunza kusoma ilipanda kutoka 20[[%]] kufikia 90%.