München : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Added bavarian name of the city
Tags: Mobile edit Mobile web edit
Mstari 2:
[[Picha:Munich - Maria column 04.jpg|thumb|right|[[Nguzo]] ya [[Bikira Maria]].]]
 
'''München''' (Kibavaria: '''Minga''') au kufuatana na uzoefu wa [[lugha]] ya [[Kiingereza]] '''Munich''' (tamka: munik) ni [[mji]] mkubwa wa tatu nchini [[Ujerumani]] baada ya [[Berlin]] na [[Hamburg]]) na [[mji mkuu]] wa [[jimbo]] la [[Bavaria]] lililopo kusini mwa Ujerumani.
 
Uko kando ya [[mto]] [[Isar]] takriban [[mita]] 500 [[juu ya UB]].