Tofauti kati ya marekesbisho "Uhindi"

no edit summary
(new president)
|government_type = [[Jamhuri ya Maungano]]
|leader_titles = [[Rais wa Uhindi|Rais]]<br /> [[Waziri Mkuu wa Uhindi|Waziri Mkuu]]
|leader_names = [[Ram Nath Kovind]]<br /> [[Narendra Modi]]
|area = 3,287,590
|areami²= 1,269,346<!-- Do not remove per [[WP:MOSNUM]] -->
}}
[[File:India in its region (undisputed).svg|thumb|India katika mipaka yake iliyokubaliwa na wote, bila maeneo yanayogombaniwa na nchi tofauti.]]
'''Uhindi''' (pia: '''India''') ni [[nchi]] kubwa ya [[bara]] la [[Asia]], upande wa [[kusini]], ikienea hasa katikatika [[rasi]] kubwa ya [[Bahari ya Hindi]].
 
Kwa eneo ina nafasi ya saba [[duniani]], lakini kwa [[idadi]] ya wakazi (1,276,267,000 mwaka [[2015]]) ni nchi ya pili baada ya [[China]]. Kati ya nchi za ki[[demokrasia]] ndiyo yenye watu wengi zaidi duniani. Tena inakadiriwa kwamba miaka ya hivi karibuni itapiku China.