München : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
Added bavarian name of the city Tags: Mobile edit Mobile web edit |
No edit summary |
||
Mstari 2:
[[Picha:Munich - Maria column 04.jpg|thumb|right|[[Nguzo]] ya [[Bikira Maria]].]]
'''München''' (kwa [[Kibavaria]]: '''Minga'''
Uko kando ya [[mto]] [[Isar]] takriban [[mita]] 500 [[juu ya UB]].
[[Milima]] ya [[Alpi]] iko karibu.
[[Idadi]] ya wakazi ni 1,320,000, lakini [[rundiko]] la [[jiji]]
München ni kati ya vitovu muhimu vya [[uchumi]], [[utamaduni]] na [[sayansi]] vya Ujerumani.
Mstari 15:
== Historia ==
Jina la mji linatokana na makazi ya [[wamonaki]] waliokuwa na [[nyumba]] kando ya Isar yaliyotajwa mara ya kwanza katika hati ya [[mwaka]] [[1158]].
Mji ukawa [[soko]] kwenye [[daraja]] la kuvuka mto.
Baada ya kuwa [[makao makuu]] ya [[watawala]] wa Bavaria mji ulianza kukua. Mnamo mwaka [[1700]] ulikuwa na wakazi 24,000 pekee walioongezeka kuwa 170,000 mnamo [[1871]] na 840,000 mwaka [[1933]].
== Tazama pia ==
Mstari 32:
[[Jamii:Miji ya Bavaria]]
[[Jamii:Miji ya Olimpiki]]
[[Jamii:Miji ya Ujerumani]]
|