Mauaji ya Lari : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'Mauaji makuu ya Lari au linalojulikana kama Lari massacre kwa lugha ya Kizungu ni mauaji yaliyotekelezwa na wapinzani wa Mau Mau walipovamia manyumba ya walioku...'
 
No edit summary
Mstari 1:
Mauaji makuu ya Lari au linalojulikana kama [[:en:Lari_massacre|Lari massacre]] kwa lugha ya Kizungu ni mauaji yaliyotekelezwa na wapinzani wa Mau Mau walipovamia manyumba ya waliokuwa wakiunga mkono watawala wazungu. Kati ya nyumba zilizotembelewa ni nyumba yake chifu Luka Kahangara walikoua wenyeji na kuteketeza nyumba.Hili lilifanyika tarehe 26 mwezi wa Machi, 1953.
 
Ili kulipiza kisasi, wazungu waliwaua wana Mau Mau takribani mia nne.
Mstari 5:
== Viungo vya nje ==
https://www.nation.co.ke/news/The-massacre--that-still-divides-Lari---/1056-1133192-baq4oo/index.html
[[Jamii:Historia ya Kenya]]