Tofauti kati ya marekesbisho "Ugonjwa wa Parkinson"

359 bytes added ,  miaka 3 iliyopita
== Matibabu ya ugonjwa wa Parkinson ==
Kwa sasa, hamna [[matitabu]] ya kutibu ugonjwa huu lakini kuna [[dawa]] ambazo wagonjwa hupewa ili kudhibiti dalili za ugonjwa. Matibabu haya ni kama levodopa na sinemet. Dawa hizi hufanya kazi kwa muda fulani tu na baadaye huwa hazifanyi. Ifikapo kipindi hiki, wagonjwa hushauriwa kula vizuri na kufanya [[Mazoezi ya mwili|mazoezi]] ambayo husaidia pia kudhibiti ugonjwa.
 
Madawa kama levodopa na sinemet husaidia katika kudhibiti mtetemeko, ukosefu wa usingizi, wasiwasi pamoja na dalili nyinginezo za ugonjwa huu.
 
Kumekuwa pia na uvumbuzi kuwa cannabidiol au [https://greenthevoteok.com/cbd-oil/ cbd oil] yaweza kusaidia katika kudhibiti dalili hizi. Hata hivyo, huwa si matibabu kamili kwani yabidi uwe ukizitumia kila wakati.
 
Suala kuhusu matumizi ya [[marijuana]] au [[bangi]] iliyotolewa THC (kiungo kinachomfanya mtu alewe anapovuta bangi) yamekuwa yakijadiliwa ikisemekana kwamba [https://marijuana101.org/hemp-oil/best-cbd-oil-for-pain-and-anxiety/ cbd oil] husaidia katika kudhibiti kiwango cha dopamini mwilini.
199

edits