Tofauti kati ya marekesbisho "Usanisinuru"

26 bytes added ,  miaka 3 iliyopita
Nyongeza istilahi
No edit summary
(Nyongeza istilahi)
[[Picha:Leaf 1 web.jpg|thumb|200px|Kila jani kina kiwanda cha kikemia ndani yake.]]
'''Usanisinuru''' (pia '''usanidimwanga''') ni mchakato wa kibiolojia na kikemia ambako [[mimea]] ya [[kijani]] inageuza [[nguvu]] ya [[nuru]] ya [[jua]] kuwa [[nishati]] ya kikemia. Inatengeneza [[kabohidrati]] ikitumia nguvu ya nuru ya jua na [[dioksidi kabonia]] ya [[Hewa|hewani]] pamoja na [[maji]].
 
Nje ya mimea kuna pia aina kadhaa za [[bakteria]] na hasa [[mwani]] zinazofanya usanisinuru.
11,792

edits