Joseph Kamaru : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'Joseph Kamaru aliyezaliwa mwaka wa 1939 na kufariki mwezi wa Oktoba tarehe 3 mwaka wa 2018 alikuwa mwanamuziki wa benga na pia nyimbo za k...'
 
No edit summary
Mstari 2:
 
== Utoto wake ==
Kamaru wa Wanjiru kama alivyopenda kujiita alizaliwa [[Kangema]], [[Muranga]]. Mwakani 1957, alihamia [[Nairobi]] alipopata kazi ya utopasi. Pia alifanya kazi ya nyumba iliyomwezesha kununa gitaa ya kwanza. Alianza kufuatilia ndoto yake ya muziki mwakani 1965.
 
== Kazi ya muziki ==
 
Wimbo wa Kamaru wa kwanza uliovuma sana ni Celina aliouimba na dadaye. Nyimbo zake nyingi zilikuwa na jumbe za siasa na aliweza kuwa na mkabala mzuri na rais wa kwanza wa Kenya. Hata hivyo, walitofautiana alipouliwa [[Josiah Mwangi Kariuki (JM)]] na Kamaru akautoa wimbo wa kukaripia kitendo kile.
 
Kamaru pia walikua na mkabala mwema na rais wa pili [[Daniel Toroitich Arap Moi]] na aliweza kutunga wimbo kwa jina 'Safari ya Japani' baada ya kuzuru nchi ile na Moi mwakani 1980.
 
== Ugonjwa na kufariki ==