Mwai Kibaki : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 45:
==Uchaguzi wa urais 2007==
Uchaguzi wa 28 Desemba 2007 ulimrudisha Kibaki kwa kipindi cha pili kama rais. Uchaguzi huu ulipingwa na chama cha upinzani na watazamaji wa kimatifa kuwa matokeo yake hayakuwa sahihi na kubiniwa. Mpinzani wake [[Raila Odinga]] alikuwa mbele katika hesabu za kura hadi kamati ya uchaguzi ilisimamisha hesabu ya kura; baada ya kuendelea na matanganzo Kibaki alionekana kuwa mbele. Kuna hofu ya kwamba matokeo ya majimbo ya uchaguzi kadhaa yalibadilishwa upande wake kwa kumwongezea kura. Kibaki aliapishwa upya kuwa rais wa Kenya masaa machache tu baada ya kutangazwa kuwa mshindi; hafla ilifanywa katika bustani ya ikulu ya Nairobi bila wananchi kuruhusiwa kushuhudia.
 
Kinyume cha uchaguzi wa rais [[uchaguzi wa Bunge la Kenya 2007]] uliendelea bila matatizo makubwa.
 
==Serikali ya Januari 2007==