William Howard Taft : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
Vojen (majadiliano | michango) No edit summary |
No edit summary |
||
Mstari 1:
'''William Howard Taft''' ([[15 Septemba]] [[1857]] – [[8 Machi]] [[1930]]) alikuwa Rais wa 27 wa [[Marekani]] kuanzia mwaka wa [[1909]] hadi [[1913]]. Kaimu Rais wake alikuwa [[James S. Sherman]] (hadi 1912 tu).
|