Tofauti kati ya marekesbisho "Mshale (kundinyota)"

no edit summary
d (Kipala moved page Kausi (kundinyota) to Mshale (kundinyota) over redirect)
No edit summary
<sup>Kwa habari za sayari (wakati mwingine kwa kosa huitwa pia "Kausi") angalia hapa [[Neptun]]; kwa matumizi mengine ya jina "Sagittarius" angalia hapa [[Sagittarius]]</sup>
 
[[Picha:Kausi Sagittarius.png|thumb|400px|Nyota za Mahale au Kausi angani (mistari imeongezwa kwenye picha tu)]]
[[Picha:Sidney Hall - Urania's Mirror - Sagittarius and Corona Australis, Microscopium, and Telescopium.jpg|thumb|KausiMshale (sagittariusKausi - Sagittarius) jinsi anavyochorwainavyochorwa na msanii]]
 
'''KausiMshale''' (pia Mshale'''Kausi''' au '''[[:en:Sagittarius (constellation)|Sagittarius]]'''<ref>[[Uhusika milikishi]] ''([[:en:genitive]])'' ya neno "Sagittarius" katika lugha ya [[Kilatini]] ni "Sagittarii" na hili ni umbo la jina linaloonekana katika majina ya nyota za kundi hili kama vile Alfa Sagittarii, nk.</ref> kwa Kilatini/Kiingereza) ni jina la [[kundinyota]] kwenye [[zodiaki]].
 
[[Nyota]] za KausiMshale huwa haziko pamoja kihalisi lakini zinaonekana tu vile kutoka duniani. Kwa uhalisi kuna umbali mkubwa kati yao, kama ziko mbali au jirani nasi. Kwa hiyo kundinyota "KausiMshale" inaonyesha eneo la angani jinsi tunavyoiona kutoka Duniani.
 
==Jina==
JinaMshale ni tafsiri ya Kausi. Mabaharia Waswahili wamejua nyota hizi kwa muda mrefu kwa jina la KiswahiliKausi limetokanalinalotokana na neno la Kiarabu ''Kaus'' <big>قوس</big> linalomaanisha "[[upinde]]", maana hii ni karibu sawa na jina la [[Kilatini]] "sagittariusSagittarius" (mpiga upinde). Wataalamu wa kale waliona katika nyota zake picha ya mtu anayekalia juu ya farasi akishika pinde na kulenga mshale.
 
Jina la "Kaus" limetumiwa pia katika [[astronomia ya kimagharibi]] kutaja nyota kadhaa zilizomo hapa kama vile Kaus Australis, Kaus Medius na Kaus Borealis.
 
Katika vitabu kadhaa vya shule za msingi nchini Tanzania "Kausi" imetumiwa kwa kosa kutaja [[sayari]] ya nane katika [[mfumo wa jua]] letu yaani [[Neptun]].
 
==Kuonekana==
KausiMshale inaonekana pale angani ambako [[njia nyeupe]] inang'aa zaidi yaani kuelekea kitovu cha [[galaksi]] yetu.
 
KausiMshale ni kati ya fungunyotakundinyota zilizojulikana tangu karne nyingi zikitumiwa hasa na mabaharia kutafuta njia baharini wakati wa usiku.
 
==Nyota na magimba ya anga==
Katika eneo la KausiMshale wanaastronomia walitambua magimba ya angani kadhaa ya maana. Hizi ni pamoja na
*Alfa Sagittarii ambayo ni chanzo cha mawimbi ya redio; inaaminiwa ya kwamba mawimbi haya ni dalili za kuwepo kwa [[shimo cheusi]] kubwa sana linaloitwa "Sagittarius A*"; linatazamiwa kuwa shimi jeusi kuu kwenye kitovu cha galaksi yetu yaani [[Njia Nyeupe]].
*[[Nebula]] kadhaa zilizoandikishwa katika [[orodha ya Messier]] kama vile nebula za lagoon, omega na red spider.