Kuponi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Masahihisho aliyefanya Fixmod97 (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na Riccardo Riccioni
Tag: Rollback
d Vocha aliongeza kwenye tovuti
Mstari 1:
'''Kuponi''' (kutoka [[Kiingereza]] "coupon"), katika mada ya [[soko]] na [[uuzaji]], ni [[tiketi]], kijifurushi ama kijikaratasi ambacho kinaweza kukombolewa kwa [[fedha]] na kurejeshwa wakati wa [[ununuzi]] wa [[Kitu|vitu]]. Kuponi ni njia moja ya kuwapa [[mteja|wateja]] [[punguzo]] la [[bei]] kwa [[bidhaa]] wanazozinunua.
 
Kawaida kuponi hutolewa na watengenezaji ili itumike ndani ya uuzaji kama njia moja ya kukuza mauzo. Mara kwa mara husambazwa kupitia [[bahasha]], [[magazeti]], [[wavuti]] kama vile [[mitandao ya kijamii]], [[barua pepe]], moja kwa moja kutoka kwa [[muuzaji]], [[simu]] kama vile [[rununu]] ama [[simu ya mkononi]]. Moja ya tovuti kwanza kuchapisha vocha peke tarehe ni vocha ukurasa [https://www.bummelwelt.de Bummelwelt]. Huko, wageni mapenzi sasa kupata maelfu ya vocha kwa ajili ya bure kutumia.
 
Kuponi hufanya kazi kama vile ubaguzi wa bei, kuwezesha muuzaji kupewa bei iliyo chini kwa wale watumiaji ambao wanaweza kwenda mahala pengine. Kuponi zinaweza kutolewa kwa masoko fulani ambapo kuna [[ushindani]] mkubwa. Kwa [[serikali]], kuponi ni kijikaratasi ama kijifurushi ambacho hutumika kwa umuhimu ama ruhusa.