Unajimu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Orion Picha.jpg|thumbnail|Mwindaji [[Orion]]: watu waliwaza ya kwamba nyota kadhaa zinazoonekana kwa pamoja angani ni picha ya mungu fulani au nguvu muhimu katika ulimwengu, hata kama nyota hizi hali halisi hazina uhusiano kati yao.]]
'''Unajimu''' (wakati mwingine pia: '''astrolojia''' kutoka [[Kiingereza]]: "astrology") ni mafundisho yasiyo ya [[sayansi|kisayansi]] juu ya uhusiano kati ya [[nyota]] na [[maisha]] hapa [[duniani]]. Wafuasi wa unajimu hufundisha ya kwamba nyota zinaathiri maisha ya watu na matukio duniani kama [[amani]], [[vita]] au [[maafa]]. Hapa huangalia hasa [[kundinyota]] zilizopo kwenye mzingo wa [[zodiaki]] ambazo zinaitwa "[[Buruji za Falaki]]" katika utamaduni wa Waswahili.
 
Kuna aina nyingi za unajimu: