Mkoa wa Singida : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Tanzania Singida location map.svg|220px|thumbnail|Mahali pa Mkoa wa Singida katika Tanzania.]]
'''Mkoa wa Singida''' ni kati ya [[mikoa]] 31 ya [[Tanzania]]: mkoa huu upo kanda ya kati, ukipakana na mikoa ya [[Mkoa wa ArushaManyara|ArushaManyara]] upande wa kaskazini , [[Mkoa wa Dodoma|Dodoma]] mashariki, [[Mkoa wa Iringa|Iringa]], [[Mkoa wa Mbeya|Mbeya]] kusini, [[Mkoa wa Tabora|Tabora]] upande wa magharibi na [[Mkoa wa Shinyanga|Shinyanga]]. [[msimbo wa posta]] ni '''43000'''<ref>https://www.tcra.go.tz/images/documents/postcode</ref>
 
'''Mkoa wa Singida''' ni kati ya [[mikoa]] 31 ya [[Tanzania]] ukipakana na mikoa ya [[Mkoa wa Arusha|Arusha]], [[Mkoa wa Dodoma|Dodoma]], [[Mkoa wa Iringa|Iringa]], [[Mkoa wa Mbeya|Mbeya]], [[Mkoa wa Tabora|Tabora]] na [[Mkoa wa Shinyanga|Shinyanga]]. [[msimbo wa posta]] ni '''43000'''<ref>https://www.tcra.go.tz/images/documents/postcode</ref>
 
Kuna [[wilaya]] [[sita]] za [[Iramba]], [[wilaya ya Manyoni|Manyoni]], [[Singida Vijijini]] na [[Singida Mjini]], [[wilaya ya Ikungi|Ikungi]] na [[wilaya ya Mkalama|Mkalama]]. Wakati wa [[sensa]] ya [[mwaka]] 2012 jumla ya wakazi ilikuwa 1,370,637 <ref>[http://www.wavuti.weebly.com/uploads/3/0/7/6/3076464/census20general20report20-202920march202013_combined_final20for20printing1.pdf Sensa ya 2012, Singida]</ref>.
 
Wakazi wa wilaya za Singida mjini na kijijini ni hasa [[Wanyaturu]]. Walio wengi [[Iramba]] ndio [[Wanyiramba]] na wakiwa [[Wagogo]] wengi huko [[Manyoni]]. Pia kati ya wenyeji kuna [[Wanyisanzu]] na makabila mengine madogo. Makabila hayo wanaishi kwa [[amani]] na [[upendo]].
 
[[Lugha]] kuu ni [[Kiswahili]], lakini pia kila kabila wanaongea yao.
 
==Uchumi==
Singida ni kati ya maeneo [[maskini]] zaidi ya Tanzania. [[Uchumi]] wake ni hasa [[ufugaji]]: [[idadi]] ya [[ng'ombe]] hukadiriwa kuwa takribani [[milioni]] 1.4. mbali na punda, kondoo, kuku. [[Soko|Masoko]] hayako karibu na [[barabara]] si nzuri.
 
[[Kilimo]] si kizuri kwa sababu ya hali ya [[mvua]]. [[Ukame]] huleta [[njaa]]. Singida ni kati ya mikoa inayotegemea misaada ya [[chakula]]. Kati ya mazao yapo ya chakula na ya biashara. Mazao yanayolimwa mkoani hapo ni mtama, alzeti, vitunguu, uweli, viazi, mahindi, karanga, maharage n.k.
 
Pamoja na kuwa mkoa wa Singida umekuwa ukikumbwa na njaa kwa sababu ya ukame, na hata pale mvua inaponyesha ni duni sana, una shughuli mbalimbali ambazo zinaingiza kipato kwa watu wa mkoa huo.