Kisumu : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
No edit summary |
||
Mstari 6:
|map_caption = Mahali pa mji wa Kisumu katika Kenya
|subdivision_type = [[Madola|Nchi]]
|subdivision_type1 = [[
|subdivision_type2 = [[
|subdivision_name = {{KEN}}
|subdivision_name1 =
|subdivision_name2 =
|wakazi_kwa_ujumla = 968909
|latd=0 |latm=6 |lats= |latNS=S
Mstari 18:
[[Picha:Jomo Kenyatta Stadium.jpg|thumb|300px|Kitovu cha Kisumu]]
'''Kisumu''' ni [[mji]] mkubwa wa [[tatu]] wa [[Kenya]], ukiwa na wakazi 968,909 ([[sensa]] ya mwaka [[2009]]<ref>[https://www.knbs.or.ke/download/volume-1a-population-distribution-by-administrative-units-2/?wpdmdl=3765 Sensa ya Kenya 2009], tovuti ya [[KNBS]], ilitazamwa Januari 2009.</ref>). Pia ni mji mkubwa wa Kenya ya [[Magharibi]] na [[makao makuu]] ya [[kaunti ya Kisumu]].
Mji uko kando ya [[ziwa]] [[Viktoria Nyanza]], una [[bandari]] kubwa ya nchi katika ziwa hilo. Mji na bandari vilianzishwa kwa [[jina]] la "Port Florence" mwaka [[1901]] wakati [[reli ya Uganda]] ilipofika huko kutoka [[Mombasa]].
|