Lenzi : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'alt= Lenzi|thumb|Lenzi '''Lenzi''' ni kitu kilicho angavu (kama vile kioo, plastiki au hata tone la maji) ambacho ki...' |
No edit summary |
||
Mstari 1:
[[Picha:BiconvexLens.jpg|alt= Lenzi|thumb|Lenzi]]
'''Lenzi''' ni [[kitu]] kilicho angavu (kama vile [[kioo]], [[plastiki]] au hata [[tone]] la [[maji]]) ambacho
Sehemu nyingine ambazo lenzi hutumika ni kwenye [[miwani]], [[kamera]], [[projekta]], [[hadubini]], [[darubini]], vioo vya kukuza, Kila [[jicho]] pia lina lenzi yake asili. Huwa zinafanya kazi kwa kupindisha mwanga.
Lenzi zina maumbo matatu makuu. Kila [[umbo]] hubadilisha taswira (kuifanya iwe kubwa au ndogo). Aina tatu hizo ni:
* Mbonyeo: sehemu ya kati ni nene
Line 11 ⟶ 15:
== Historia ==
[[Neno]] "lenzi" linatokana na neno la [[Kiingereza]] ''Lens'' ambalo limetokana na [[Kilatini]] "lentil," kwa sababu lenzi za awali zilikuwa na umbo kama [[kunde]].
[[Rekodi]] ya zamani ya [[maandishi]] ya lenzi ya Kigiriki na ''Aristophanes'' , inatujulisha ya kwamba lenzi zilitumiwa kukusanya miale ya [[jua]] ilikufanya [[moto]]▼
▲[[Rekodi]] ya zamani ya [[maandishi]] ya lenzi ya [[Kigiriki]]
[[Galileo Galilei]] kwa kawaida anaaminika kuwa alitumia lenzi ili kutengeneza [[darubini]] ya kwanza. Hata hivyo, yeye tu alibadilika na kuboresha muonekano kama aliyojifunza kutoka kwa wataalam wa Uholanzi kama vile [[Hans Lippershey]]. Huenda alikuwa ndiye wa kwanza kutumia [[teknolojia]] ili kufanya uchunguzi sahihi wa [[nyota]].▼
▲[[Galileo Galilei]] kwa kawaida anaaminika kuwa alitumia lenzi ili kutengeneza [[darubini]] ya kwanza. Hata hivyo, yeye tu
{{tech-stub}}
[[Jamii:Jicho]]
|