Eneo la kudhaminiwa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:League_of_Nations_mandate_Middle_East_and_Africa.png|thumb|380px|'''Maeneo ya kudhaminiwa''' <br /> 1 Syria (Ufaransa) - 2 Lebanon (Ufaransa) – 3 Palestina (Uingereza) – 4 Ng’ambo ya Yordani (Uingereza) - 5 Irak ((Uingereza) - 6 Togo (Uingereza) - 7 Togo (Ufaransa) – 8 Kamerun (Uingereza) - 9 Kamerun (Ufaransa) - 10 Ruanda-Urundi (Ubelgiji) - 11 Tanganyika (Uingereza) - 12 Afrika ya Kusini-Magharibi (Afrika Kusini)]]
'''Eneo la kudhaminiwa''' lilikuwa eneo lililokabidhiwa na umma wa kimataifa mikononi mwa nchi iliyotakiwa kulisimamia. MaeneoKatika hayokarne yalianzishwaya mwaka20 [[1919]]maeneo katikaya [[Mkatabakudhaminiwa yalikuwa aina ya pekee ya ukoloni. Utawala wa Versailles]]mkoloni ulioundaulitekelezwa [[Shirikishorasmi lakwa Mataifa]]niaba lililokuwaya mtangulizinchi wahuru [[Umojazote za Dunia. Hali hii ya pekee ilikuwa na umuhimu hasa wakati wa Mataifa]]uhuru wa leonchi hizo.
 
Maeneo hayo yalianzishwa mwaka [[1919]] katika [[Mkataba wa Versailles]] uliounda [[Shirikisho la Mataifa]] lililokuwa mtangulizi wa [[Umoja wa Mataifa]] wa leo.
 
Nchi tawala za maeneo ya kuadhiminiwa zilipokea maeneo yale chini ya [[sharti|masharti]] ya [[katiba]] ya Shirikisho la Mataifa zikatakiwa kutoa taarifa za kila mwaka na kuyaandaa kwa [[uhuru]] wa kisiasa.