Abraham Lincoln : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 45:
}}
[[File:Lincolnassassination.jpg|thumb|right|Uuaji wa Lincoln.]]
'''Abraham Lincoln''' ([[12 Februari]] [[1809]] – [[15 Aprili]] [[1865]]) alikuwa [[Rais]] [[Marais wa Marekani|wa 16]] wa [[Marekani]] kuanzia [[mwaka]] wa [[1861]] hadi [[1865]].
 
Alikuwa na Kaimu Rais wawili: kwanza [[Hannibal Hamlin]], halafu [[Andrew Johnson]] aliyemfuata kama Rais, Lincoln alipouawa.
 
Lincoln amejulikana kama [[Rais wa Marekani|rais]] wa upande wa [[kaskazini]] katika [[vita vya wenyewe kwa wenyewe vya Marekani]] kati ya [[Majimbo ya Marekani|majimbo]] ya kaskazini dhidi ya [[shirikisho]] la [[kusini]].
 
Kwa hiyo hukumbukwa kama rais aliyeleta mwisho wa [[utumwa]], yaani [[uhuru]] kwa [[watumwa]] wote wa Marekani na kuunganisha [[taifa]] tena.
 
Juhudi zake zilimgharimu [[uhai]].
{{Marais wa Marekani}}
 
{{Marais wa Marekani}}
{{DEFAULTSORT:Lincoln, Abraham}}