Kismayu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
 
No edit summary
Mstari 1:
'''Kismayu''' (pia: '''Kismayo''' au ([[Kisomali]]: '''Kismaayo''') ni mji katika eneo la [[Jubbada Hoose]] la [[Somalia]] mwambaoni wa [[Bahari Hindi]]. Iko karibu na mdomo wa mto wa [[Juba (mto)|Juba]].
 
==Historia==
Mji ulianzishwa na [[Wabajuni]] waliokuwa [[Waswahili]] Wabantu. [[Wasomali]] wenyewe walichelewa kufika eneo hili.
 
Kismayu pamoja na pwani ilikuwa chini ya masultani wa [[Zanzibar]] tangu 1835 [[BK]]. Kati ya 1875 hadi 1876 Kismayu ilitawaliwa na [[Misri]].