Ukoloni : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 44:
3. [[Ufaransa]] ilikuwa na [[Algeria]], [[Benin]], [[Cameroon]], [[Chad]], [[Cote d'Ivoire]], [[Jamhuri ya Afrika ya Kati]], [[Jibuti]], [[Komoro]], [[Gabon]], [[Guinea]], [[Madagaska]], [[Mali]], [[Mauritania]], [[Moroko]], [[Niger]], [[Senegal]], [[Togo]], [[Tunisia]] na sehemu nyingine kwa muda.
 
3. [[Ujerumani]] ilikuwa na Burundi, Cameroon,[[Afrika ya Kusini-Magharibi ya Kijerumani]] (leo [[Namibia]]), Rwanda[[Afrika ya Mashariki ya Kijerumani]] (tangu 1922 [[Burundi]], [[Rwanda]] na [[Tanganyika]]), [[Kamerun]] na [[Togo]], lakini baada ya [[vita vikuu vya kwanza]] ilinyang'anywa kila mojawapo; zilikuwa [[maeneo ya kukabidhiwa]] kwa niaba ya [[Shirikisho la Mataifa]] na kuweka chini ya Uingereza, Ufaransa, Ubelgiji na Afrika Kusini.
 
4. [[Italia]] ilikuwa na [[Eritrea]], [[Libya]] na [[Somalia ya Kiitalia]]; pia [[Ethiopia]] kwa miaka mitano tu (1936-1941).