Tofauti kati ya marekesbisho "Biashara"

Mambo makubwa yanayoathiri mpangilio wa biashara ni kama vile:
 
* ''Ukubwa wa biashara'' na matarajio ya usimamizi na umiliki. kwa ujumla biashara ndogo<ref>[https://exai.com/ Choose a business structure],International;sba.gov/business-guide/launch-your-business/choose-business-structure</ref>. zinaweza kubadilika kwa urahisi , ilhali biashara kubwa, au zile zenye umiliki mpana au miundo rasmi, kwa kawaida upangiliwa kama ubia au makampuni. Aidha biashara ambayo inataka kuongeza fedha kwenye [[soko la hisa]] au kuwa inamilikiwa na watu anuwai mara nyingi inatakiwa upangile kwa mfumo maalumu wa kisheria ili kufanya hivyo.
* ''Sekta na nchi.'' Biashara za binafsi zenye malengo ya kupata faida ni tofauti na biashara zinazomilikiwa na serikali. Katika baadhi ya nchi, baadhi ya biashara ni wajibu wa kisheria na mpangilio fulani.
* ''[[Dhima ya binafsi]]''. [[Makampuni]] na baadhi ya biashara zingine huwalinda wamiliki wake dhidi ya kupoteza mali yao wakati biashara inaposhindwa kulipa madeni yake kwa kuifanya kiungo tofauti na wao wenyewe kinacho tambulika kisheria. Kwa kulinganisha, biashara zingine zilizomilikiwa na watu binafsi au na idadi chache ya watu huwa hazijalindwa hivi kisheria.
1

edit